Wana protocol: Mawaziri hawa wamekaaje katika picha hii?

bmpingo

JF-Expert Member
Mar 24, 2011
341
195
Naomba kuuliza kwenu wataalam wa protocols. Katika shughuli za serikali ikiwa na picha za pamoja, je huoni kuwa watu hawa wamekaa visivyo?
protocol.JPG
 
Sasa kwa uwadhifa wao na jinsi nilivyofikiria protocols, wao wangekaa katikati na kumuweka binti kati yao. Then wengine wangekaa pembeni. Ila hapa, Jan yuko kwa walala hoi
 
Back
Top Bottom