Wana ndoa kwa wiki mnakutana mara ngapi

Kila siku mara 2 alfajiri na kabla ya kulala. Vipi una tatizo na utaratibu wetu? Kwako unaweza?
 
Ndoa inachangamoto nyingi sana, hasa mnapokuwa na familia.

Inafika wakati Mwanaume anawaza hili, mke nae anawaza lile...mke na mme wanalala kitanda kimoja lakini wanachokiwaza usiku kila mmoja ni mbingu na ardhi.

Kubali tu kuwa kulingana na majukumu ya mwanaume kuhusu familia inafika wakati hata hisia za mapenzi zinapungua....ila sio kwa mchepuko..
 
Ulikuwa unawachungulia eenh
Mkuu....
Ujue mimi ni nyani mzee, na hadi nafikia hapa ujue nimekwepa mishale mingi sana enzi zileeee nilipokua ubazazini....[emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Kweli Kabisa
 
Dogo hiyo kitu inategemea ndani kama pana furaha!! Kama hamna hata mwezi mtamaliza na hakuna shida. Pia inategemea na upya wa ndoa yenyewe !! Mwanzo mambo hua motomoto
 
Hakuna formula inategemea hali zenu kiafya,changamoto za mahusiano, ubize au majukumu ya utafutaji. Kwa mm kuna wakat nafululiza week na upo wakati naweza kupotezea hata week mbili.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…