KIM KARDASH JF-Expert Member Joined Sep 21, 2011 Posts 5,139 Reaction score 1,153 Feb 4, 2013 #1 Wanachotaka watu wa Mtwara kuhusu gesi ni Mrahaba au Corporate responsibility?...au kitu kingine zaidi..I am lost...naomba ufafanuzi zaidi kwa yeyote anaejua kilichomo ndani ya mioyo ya wana mtwara. thanx.
Wanachotaka watu wa Mtwara kuhusu gesi ni Mrahaba au Corporate responsibility?...au kitu kingine zaidi..I am lost...naomba ufafanuzi zaidi kwa yeyote anaejua kilichomo ndani ya mioyo ya wana mtwara. thanx.