Shy land
JF-Expert Member
- Jul 28, 2013
- 6,024
- 1,960
Ni mda mwafaka wa kujuana, kufahamiana na wana JamiiForums, munaoishi Dar es salaam, watakao pata muda wa kuhudhuria katika mbio za uhuru marathon siku ya jumapili maeneo ya leadersclub mida ya asubuhi.
Shy land nitakuwepo siku hiyo nikitokea kwetu mkoani shinyanga. pia nitakuwa nimevaa t-shirt niliyoichapisha kwa jina la shy land. hata kama mkishidwa kufika musiache kunishangilia mtakao kuwa barabarani pindi mnatakopo niona, mimi nimejiandikisha kwenye mbio za 21km.
Asanteni sana