Wana MMU: Tukutane Leaders Club siku ya Jumapili 7/12/2014 katika mbio za Uhuru Marathon

Shy land

JF-Expert Member
Jul 28, 2013
5,944
1,250
Ni mda mwafaka wa kujuana, kufahamiana na wana JamiiForums, munaoishi Dar es salaam, watakao pata muda wa kuhudhuria katika mbio za uhuru marathon siku ya jumapili maeneo ya leadersclub mida ya asubuhi.

Shy land nitakuwepo siku hiyo nikitokea kwetu mkoani shinyanga. pia nitakuwa nimevaa t-shirt niliyoichapisha kwa jina la shy land. hata kama mkishidwa kufika musiache kunishangilia mtakao kuwa barabarani pindi mnatakopo niona, mimi nimejiandikisha kwenye mbio za 21km.

Asanteni sana
 

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
46,341
2,000
Mpwa nipm ntakuwepo baada ya Pale tipate kasavanah kidogo cha uchagani aka mbege
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom