Msandawe Halisi
JF-Expert Member
- Nov 5, 2010
- 647
- 351
Mwezi moja na nusu uliopita ndio ulikuwa mwisho wangu wa kudadavuana kavukavu. Matokea yalikuwa HIV negative. Je ninaweza sherekea ushindi au still nipo danger zone?
Hama team kavu kavu, ukiweza hata timu zinaa hama! Kwa sasa hongera sana, mimi nikiwa na uhakika sina wadudu nitaenda kupima
ushindi? nadhani umeniacha njia panda..Mwezi moja na nusu uliopita ndio ulikuwa mwisho wangu wa kudadavuana kavukavu. Matokea yalikuwa HIV negative. Je ninaweza sherekea ushindi au still nipo danger zone?