Wana mmu naombeni ushauri

me na wasi wasi na wewe kwanza bado unajiona mvulana na si mwanaume... ndo maana hata maamuazi uliyokuwa unatoa yawezekana ni ya kivulana vulana ndo maana binti kasepa ... basi kwa sasa anza kujiona mwanaume fanya maamuzi ya kiume anza uuhusiano na binti mwingine na pia usitumie kigezo cha kutokuombwa hela kama ndo sababu ya kumweka binti ndani.... kama unampenda kweli ndo uoe hata kama atakuwa anatakka nusu ya mshahara wako sawa rafiki.... ila pole kwa kuibiwa kipenzi
 
Nadhani hakuwa na mapenzi ya kweli mana asingeshawishika kirahisi hivo pole.

tatizo huyu ni mvulana sasa binti kakutana na mwanaume hata kama ni wewe ungechagua nin rafiki? me ningechagyua mwanaume aku...
 
Yaani ulitaka oa bila kugegeda?pole kwa kutaka kuuziwa mbuzi kwenye gunia.
 
...... Huyo bint hakuwa na mapenzi wala nini ni dhiki iliyokuwa inamsumbua na alikuwa anacheza karata ili aolewe kwani hakuwa na msimamo wa maisha. Baada ya kumpata atakaye tatua hilo tatizo lake ameenda. Kama wewe una hela kidogo kuzidi jamaa unaweza kumrudisha hata kesho....

Acheni kufuata wapenzi wasioomba hela ni hatari.. heri ujue mapema gharama za kuhudumia mapenzi leo badala ya kesho..
 
tatizo huyu ni mvulana sasa binti kakutana na mwanaume hata kama ni wewe ungechagua nin rafiki? me ningechagyua mwanaume aku...

hahahhahhahah...mwanamke lazima atake mwanaume bwana sasa yeye mvulana kafata mwanake badala ya msichana
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…