Naombeni Ushauri wadau

Dec 12, 2020
14
34
"Niliwahi kuwa katika Mahusiano na binti flani ambae nilidumu nae katika mahusiano kwa mwaka mmoja na nusu.

Sasa baada ya miezi 7 ya mahusiano kuna siku huyo binti aliniambia ana mimba, kwa kweli nilishtuka juu ya taarifa hio lakini nikajisemea moyoni kuwa kama ikiwa yangu nitalea, japo sikuwa tayari kuwa na mtoto kipindi hicho.

Sasa baada ya kuchunguza na kumbana sana kwa maswali na kutaka twende kupima yule binti akasema kuwa hana mimba alitaka kunipima tu ajue nitasemaje, ili chukua kama siku tatu hivi ndo akaja kusema ukweli huo kuwa hana mimba.

Basi maisha yakaendelea, sasa baada ya kupita miezi mingine 8 akaja kusema huyo binti kuwa...hivi sasa ana mimba yangu kweli, mimi nikawa na mkatalia alivyoona vile akawaambia ndugu zake wa kike wawili wakanipigia simu wakawa wananitishia kuwa ile mimba ya mdogo wao ni yangu na kila kitu wanajua kuhusu mimi, japo mi kusikia hivyo lakini mimba niliikataa.

Wakati huo nilikuwa nimesafiri kidogo nilienda mkoa mara moja sasa nilipanga nikirudi nikamchukue huyo binti nikampime, lakini hilo sikuwaambia ila nilikuwa naendelea kukataa kuwa ile mimba si yangu.

Nilichofanya nika M-block kwa muda yule bint nione atafanya nini, alichofanya akawa ananitafuta kwa namba nyingine huku akisema kuwa nina ana mimba yangu.

Sasa mimi nikarudi zangu dar, nikamcheki yule bint lakini wimbo ukawa ni ule ule kuwa ana mimba, sasa mimi nilichofanya nikawa namwambia si yangu basi akawa anatukana sanaa lakini mimi nilisimamia msimamo ule ule.

Sasa yule binti akaona isiwe kesi ikabidi aniambie kuwa anataka nimpe pesa kisha aongezee na yake ili akatoe hio mimba mi nikamwambia kuwa sina hela.

Sasa mimi nikawa naendelea sana kumbana na kutaka aseme ukweli ilipita kama mwezi na wiki 2 akaja kusema mimba ile imetoka, hivyo anataka yaliyopita tuyasahau tuanze maisha mapya na akalia sanaa kuwa ananipenda mi nikamsamehe lakini sikutaka kuonana nae kwanza.

Baada ya kumsamehe ikapita kama wiki, sasa ikawa anaradhimisha sana tufanye ule mchezo huku akisema kuwa amenimiss sanaa, na kila siku wimbo ni huo huo, mi nikajiuliza mbona anataka sanaa japokuwa mwanzoni alikuwa akisema amenimiss mi huwa najiongeza chap, lkn sasa hivi imekuwa too much nikaona hii si kawaida.

Kwakuwa yule bint ananipenda sanaa nikatumia mwanya huo kwa kumbana na maswali ili kutaka aseme ukweli kuwa kwann anataka sana tufanye tendo na muda wote maongezi ni hayo hayo...Sasa baada ya kumbana sanaa akaja kusema ukweli kuwa aliambiwa na wale ndugu zake kuwa aje aniwekee dawa ya mapenzi ili nimpende yeye tu, akanitumia hadi picha ya hio dawa ambayo alitaka kuja kuniwekea...daah nikachoka kabisa, lakini aliomba msamaha sanaa kuwa hajakusudia kufanya hivyo ila ni ndugu zake waliomshawishi hivyo ni msamehe sanaa.

SASA NAOMBENI USHAURI NIFANYAJE!???
 
Alikwambia ana mimba badae akabadili maneno na kusema alikuwa anakutania
Akapata mimba akasema ni yako badae akasema ilitoka
Kalazimisha mapenzi badae akasema alitumwa na ndugu zake akuwekee dawa
Alishakutukana sana

Mwanamke mwenye drama na ungese namna hiyo wa nini mzee?piga chini atakuja kukuletea matatizo huyo hutaamini
 
"Niliwahi kuwa katika Mahusiano na binti flani ambae nilidumu nae katika mahusiano kwa mwaka mmoja na nusu.

Sasa baada ya miezi 7 ya mahusiano kuna siku huyo binti aliniambia ana mimba, kwa kweli nilishtuka juu ya taarifa hio lakini nikajisemea moyoni kuwa kama ikiwa yangu nitalea, japo sikuwa tayari kuwa na mtoto kipindi hicho.

Sasa baada ya kuchunguza na kumbana sana kwa maswali na kutaka twende kupima yule binti akasema kuwa hana mimba alitaka kunipima tu ajue nitasemaje, ili chukua kama siku tatu hivi ndo akaja kusema ukweli huo kuwa hana mimba.

Basi maisha yakaendelea, sasa baada ya kupita miezi mingine 8 akaja kusema huyo binti kuwa...hivi sasa ana mimba yangu kweli, mimi nikawa na mkatalia alivyoona vile akawaambia ndugu zake wa kike wawili wakanipigia simu wakawa wananitishia kuwa ile mimba ya mdogo wao ni yangu na kila kitu wanajua kuhusu mimi, japo mi kusikia hivyo lakini mimba niliikataa.

Wakati huo nilikuwa nimesafiri kidogo nilienda mkoa mara moja sasa nilipanga nikirudi nikamchukue huyo binti nikampime, lakini hilo sikuwaambia ila nilikuwa naendelea kukataa kuwa ile mimba si yangu.

Nilichofanya nika M-block kwa muda yule bint nione atafanya nini, alichofanya akawa ananitafuta kwa namba nyingine huku akisema kuwa nina ana mimba yangu.

Sasa mimi nikarudi zangu dar, nikamcheki yule bint lakini wimbo ukawa ni ule ule kuwa ana mimba, sasa mimi nilichofanya nikawa namwambia si yangu basi akawa anatukana sanaa lakini mimi nilisimamia msimamo ule ule.

Sasa yule binti akaona isiwe kesi ikabidi aniambie kuwa anataka nimpe pesa kisha aongezee na yake ili akatoe hio mimba mi nikamwambia kuwa sina hela.

Sasa mimi nikawa naendelea sana kumbana na kutaka aseme ukweli ilipita kama mwezi na wiki 2 akaja kusema mimba ile imetoka, hivyo anataka yaliyopita tuyasahau tuanze maisha mapya na akalia sanaa kuwa ananipenda mi nikamsamehe lakini sikutaka kuonana nae kwanza.

Baada ya kumsamehe ikapita kama wiki, sasa ikawa anaradhimisha sana tufanye ule mchezo huku akisema kuwa amenimiss sanaa, na kila siku wimbo ni huo huo, mi nikajiuliza mbona anataka sanaa japokuwa mwanzoni alikuwa akisema amenimiss mi huwa najiongeza chap, lkn sasa hivi imekuwa too much nikaona hii si kawaida.

Kwakuwa yule bint ananipenda sanaa nikatumia mwanya huo kwa kumbana na maswali ili kutaka aseme ukweli kuwa kwann anataka sana tufanye tendo na muda wote maongezi ni hayo hayo...Sasa baada ya kumbana sanaa akaja kusema ukweli kuwa aliambiwa na wale ndugu zake kuwa aje aniwekee dawa ya mapenzi ili nimpende yeye tu, akanitumia hadi picha ya hio dawa ambayo alitaka kuja kuniwekea...daah nikachoka kabisa, lakini aliomba msamaha sanaa kuwa hajakusudia kufanya hivyo ila ni ndugu zake waliomshawishi hivyo ni msamehe sanaa.

SASA NAOMBENI USHAURI NIFANYAJE!???

Drama zote hizo bado uko nae aaah wote bado mna utoto nyie
 
No comment. Ila pole sana maana drama zake zinatisha zinakuogopesha japo kwa maelezo yako una mpenda sana... Huyo kumuacha huwezi we mchukue tu ila tafuta njia ya kujiweka mbali na ndugu zake
 
Kumuacha naweza kaka... Maana tangu alivyosem mambo ya dawa mpk leo sijaonn nae na pale nilipopanga nilihama kabisa, maana nilisikia kuwa aliwahi kuja kipindi nilichosafiri..

Ila bado anaomba msamaha ndmn nikataka Ka ushauri...ili nione mawazo ya watu wengine.
 
Utapigwa pesa hapo kimbia sasa mademu wanafanya wanaume kama ndo ajira anaweza kubwa ana madanga akipata mimba kisa unajiweka anakubambikia naona ushashtuka mwamba kaza ivyo ivyo

Kuna kitu unacho kinamnufaisha kaza ivyo ivyo kulegeza unapigwa pesa mpaka ushangae
 
Mm 28 yy 22
Deal nae kama mtoto wako utaenjoy mapenzi yenu usideal nae kama mtu mzima mwenzako, mimi naona hana kosa au kama anayo wewe pia ni sehemu ya makosa hayo simama nae mpe njia ya kupita usimuache kama wachangiaji wengi walivosema. Hutapata perfect mkuu mlee huyuhuyu akikua ataacha.
 
Ukileta humu uzi wenye mlengwa wa kutendwa wadau hawanaga ushauri tofauti na "kimbia achana nae ukikomaa nae unatafuta kifo halafu wanasema shauri yako"

Wachache sana wanatoa na kutia moyo kwamba binadamu wote tuna mapungufu kuna haja kubwa ya kuvumiliana na kurekebishana. Anyway.....maisha ni mtihani ambao kila mmoja amepewa maswali yake unique, ukiangalizia kwa mwenzako unafeli sana.
 
No comment. Ila pole sana maana drama zake zinatisha zinakuogopesha japo kwa maelezo yako una mpenda sana... Huyo kumuacha huwezi we mchukue tu ila tafuta njia ya kujiweka mbali na ndugu zake
No comment ila umefanya commitment jokes
 
Back
Top Bottom