Hie, wana mipango! Samahani jamani naomba msaada nataka kujua kuhusu upatkanaji wa hostel au vyumba vya kupanga pale chuo, MIPANGO' Na nlitaka kujua kama 1st year kuna field au na jins ya kucalculate percentage ya mkopo, plz nisaidie! THANKS!!!
We kama ni demu ukikosa hostel nitafute b'se kuna hostel za mademu tu daradara 1 toka hapo zipo Dodoma mjini na so cheap wanakaa wanafunz wa vyuo mbal mbal. Nakuhusu la field 1st year ngoja nidodose nitakutel baadaye.
Ishu ipo kama hivi tembelea website yao ambayo ni Institute of Rural Development Planning then download form zao za MISAB baada ya hapo zijaze siku ya kuripoti wai nazo chuo unachance kubwa ya kupata kama utawahi chuo (first come first served)...Source: my sister anasoma pale

hakikisha umedownload hiyo form! ina maelezo yote, na hostel ukiwah unapata, hakikisha unawahi, idadi ya wahitaji mwaka huu ni kubwa sana tofauti na miaka ya nyuma.
yan mi namaanisha nikitaka kupanga kitaa tu kwa 1st year haitawezekana?, coz nasikia 1st yr wote lazma 2kae hostel n kwel? Na kama naweza kupanga vyumba vinapatkana kwa sh ngap? Usichoke joh nahtaj msaada il kuelewa, afu kama unamkopo ile ada ya mwnz unalpa kabsa au unaenda kusikilizia chuo ya mkopo?