Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 4,393
- 14,500
Wanachama wa CHADEMA mkoani Mbeya wamefanya maombi kwa ajili Mdude Nyagali kutoka kwenye kambi ya kumtafuta iliyowekwa Ofisi za Chama kanda Mbeya.
Pi, Soma: RC Mbeya atoa TSh 5 Milioni kwa atakayetoa taarifa za Mdude, aagiza Polisi kuwasaka waliomteka
Pi, Soma: RC Mbeya atoa TSh 5 Milioni kwa atakayetoa taarifa za Mdude, aagiza Polisi kuwasaka waliomteka