Wana Mabadiliko wote pitia hii

Wewe Mushi mabadiliko yaanze kwa kumbadilisha mwenyekiti wa chama chenu na huyo mtakayembdilisha asiwe mchaga wala mtu kutoka kasikazini ndio mengine yatafuata.

Usituletee mambo ya ukabila endapo kama huna la kuongea kwa nini usisome mawazo ya Great Thinkers tu???

Si lazima uchangie mada. Acha kutuharibia AMANI yetu Tanzania kwa kutuletea mambo ya Ukabila na Ukanda
 
Ukiwa na ushahidi na sio tu ushahidi iwe ni Overwhelming ushahidi. Post hapa na mimi nitarudi kuja kujikosoa statement yangu. Until then sit down and enjoy the ride!
 
stupid maccm...primitive people..watanzania tutaendelea kudharauliwa ndani ya dunia na nawaelezeni hata ulimwengu umewashangaa...hata hivyo nafarijika kuwa miji yenye wasomi na waelewa, hata ile mikoa yenye maendeleo wameikacha CCM...so ni kielelezo kuwa mtaji wa CCM ni ujinga na umasikini wa watanzania waliyo wengi...
 
Mkuu tutayapinga matokeo tukiwa hai ama wafu

Polisi wanaoisaidia ccm wapo wachache sana
 
Ukiwa na ushahidi na sio tu ushahidi iwe ni Overwhelming ushahidi. Post hapa na mimi nitarudi kuja kujikosoa statement yangu. Until then sit down and enjoy the ride!

Usichelewe kurudi.

Mimi ni muelewa siyo mbulula siwezi kuweka Docs yoyote katika Mtandano ingawa zipo tunazo. Dunia ni kijiji miaka hii hakuna siri.

HAPA SIYO MAHAKAMANI.
 
Endapo kama ni Mungu amependa kwanini Serikali inatumia nguvu kupitisha wagombea wake????

Elewa ni nguvu ya SHETANI inayofanya kazi hapa.
 
Usituletee mambo ya ukabila endapo kama huna la kuongea kwa nini usisome mawazo ya Great Thinkers tu???

Si lazima uchangie mada. Acha kutuharibia AMANI yetu Tanzania kwa kutuletea mambo ya Ukabila na Ukanda

Acha kulilia wanaoharibu amani ni hao wanaokataa matokeo na kuleta uupuzi hapa.

Tunduma matokeo yametangazwa leo wakati jana mlikuwa mnalilia kuwa tume imechakachukua matokeo ya Tunduma.

Nyie bavicha ni wajinga na wapumbavu sijawahi ona.
 
Endapo kama ni Mungu amependa kwanini Serikali inatumia nguvu kupitisha wagombea wake????

Elewa ni nguvu ya SHETANI inayofanya kazi hapa.

Weka ushahidi wa serikali kutumia nguvu kupitisha wagombea wake.

Acheni kuleta ushabiki mandazi na kujifanya mnajua kumbe ni ovyo kabisa wapuuzi wakubwa nyinyi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…