Wana Kigoma embu jengeni kwenu

Wana Kigoma embu jengeni kwenu

kukumdogo

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2011
Posts
2,883
Reaction score
2,786
Ukifika Kigoma ni mji uliokauka sana kimaendeleo japo imepakana na nchi zaidi ya mbili. Mbaya zaidi harufu ya kule ni harufu ya kichawichawi. Wenyeji wa huko wamelogezewa ubishi wa kijingajinga tu.

Jamani wanakigoma jengini kwenu, embu igeni mfano wa watu wa Kaskazini kama wa Kilimanjaro, Arusha na atlist Tanga.

Yani hadi wapemba na waunguja wamewazidi kimaendeleo na huku wako visiwani. Acheni hizo bana jengeni kwenu.

Futeni hiyo sifa ya kijinga mnayojisifia ya uchawi. Mkiendekeza mtaendelea kuwa masikini hadi sana.
 
Thubutu

Hivi hujajua kwanini hawajengi huko ...kuna uchawi mtakatifu huko utadhani shetani ndio amezaliwa kule.

ukijenga tu jiandae kurudi kwenye jeneza ..watu hawataki kabisa kuona vijana wanakuwa na maendeleo.

kuna wengine ambao niwazawa hawataki kurudi hata kutembea kwao
yaani hawataki kurudi hata kwa bahati mbaya
 
thubutu
Hivi hujajua kwanini hawajengi huko ...kuna uchawi mtakatifu huko utadhani shetani ndio amezaliwa kule ...

Hahahaha niliwahi ishi kigoma kwa miaka kadhaa ila acha tu sijui kama wamebadirika kwa kweli
 
thubutu
Hivi hujajua kwanini hawajengi huko ...kuna uchawi mtakatifu huko utadhani shetani ndio amezaliwa kule ...
ukijenga tu jiandae kurudi kwenye jeneza ..watu hawataki kabisa kuona vijana wanakuwa na maendeleo.
kuna wengine ambao niwazawa hawataki kurudi hata kutembea kwao
yaani hawataki kurudi hata kwa bahati mbaya
Sad
 
Kule wakiacha kuvuta Bangi mbona wataendelea
Uchawi na bange, lethal combination bila hekima na ufahamu!
Leonardo Da Vinci ndiyo ilikuwa kazi yake
Sasa huko Kigoma, sijui kwa kweli
 
n ukweli mtupu huwez amini kigoma lami IPO mjini hadi manyovu border tu
mkoa mzima n vumbi
 
Back
Top Bottom