Wana Kagera tuna letu jambo 2020

Nshonzi

JF-Expert Member
Jul 19, 2016
3,057
1,882
Sisi wana wa Kagera tuna letu jambo kwenye uchaguzi mkuu wa 2020 kama walivyofanya wenzetu wa mtwara,ccm watajuta kutufahamu.
 
Kama kuna watu nawadharau ni hao hao wanakagera wako. Mufano muzuri ni huu uchaguzi wa juzi. Nilidhani kwa yale maneno ccm hata kura ya huyo mgeombeya angeli wanyima ili tumufundishe lugha nzuri. Lakini Muleba mukamupa kula zoote. Kha! Siwaamini tena. Na huko sijiii nakaa darisalama
 
Kenge wewe mbona mlishidwa Bukoba? Tunawafukuza mjini sasa miji inaisha tunawafata vijijini.
 
Anae shabikia ccm (1) kwangu chakula hapat (2)simsalimii [HASHTAG]#ILA[/HASHTAG] NITAMSHAULI CHAKUFANYA ASIPONIELEWA !!!!!!...............
.....
..
.
 
Back
Top Bottom