Wana JF yamenikuta ya huyu binti mwenye mtoto, tafadhali naombeni ushauri

Wadau habari, poleni na majukumu.
Kilichonileta apa leo ni kuomba ushauri je nifanye nini juu ya hili,

Niliingia kwenye mahusiano na mwanamke mmoja ambaye alizalishwa na jamaa uko tunduma, mwanzo sikuwa naiona athari yoyote ya kuwa na mwanamke ambaye alizaa nikiamini kwamba sio wanawake wote waliozaa ni shida hasa likija suala la baby dady dramer, lililonipa nguvu zaidi ni pale baada ya mwanamke kunambia yeye alizalizaa tu na huyu mwanaume na hawezi kuwa na mahusiano yoyote ya kimapenzi na baba mtoto zaidi ya kumlea mtoto na ukizingatia uyu bwana ni mume wa mtu wa ndoa uko alipo na nilihakikisha hili.

Nimeishi pamoja na uyu mwanamke mwaka sasa, japo tangu mwanzo kulishatokea vitimbwi vingi sana mara kwa mara na nilivivumilia, ni mwanamke flani hivi ambaye alishapitia ujana mwingi sana, ninavyosema ujana namaanisha alishakuwa mwanamke wa kujirusha sana uko ma night club na kadhalika.

Mimi ni kijana mwenye kazi yangu nzuri tu, na kwa kipato changu nna uwezo wa kumtimizia kila hitaji atakalo uyu mwanamke na sio yeye tu hadi uyu mtoto wake ambaye c wangu, namlea mtoto wa mwanaume mwenzangu bila kinyongo ' msinilaumu kwa hili ni kwa upendo tu '.

Sasa shida iliyopo ni hivi,, kila nikizinguana na uyu mwanamke ata liwe jambo dogo tu na hata kama alinikosea yeye then kiume tu nika react kuonyesha kutopendezewa na hilo jambo alilofanya, basi siku hiyo baba mtoto atatafutwa kwa speed zotee, ataitwa dady nikutumie picha za mwanao umwone, dady tutumie pesa za matumizi tumeishiwa, dady iv dady vile..

Hali hii hutokea mara kwa mara kwa huyu binti, kuna nyakati nilichoshwa na huu mtindo wake 'inakera' na nilimuuliza so why kila tukiwa hatupo sawa unamtafuta uyu mtu alinijibu kuwa ata yeye haelewi ni nini huwa kinampata kufanya hivi, lakini ilijirudia hivyo zaidi ya mara 3 hata baada ya kumuuliza tayari na kunijibu kuwa ata yeye haelewi lakini siku zingine alirudia kufanya hivyo.

Ikafika wakati nilichoka, nikamwambia tu kuwa siwezi tena kuwa pamoja nae kwa sababu alimweka baba mtoto kama tishio kwangu, tuliachana kwa ghadhabu sana na kila maneno ya kumkatisha tamaa niliyanena kwake, lakini hakutaka kukubaliana na hili, nilimblock kila kona ya mawasiliano baina yetu, lakini alionyesha kujutia hili na kuni ahidi kuwa awezi rudia tena kufanya hivyo, wakati huo alinifuata adi ofisini bila uwoga wowote alianza kulia na kutia huruma, wafanya kazi wenzangu waliliona hilo na kunishauri kuwa nimpe tu chance nyingine. Basi kwa sababu tumeumbiwa huruma nilimhurumia na kurudiana nae.

Mwanamke ni mzuri tena bado ni mdogo tu, ajachakaa kiivo, nimemzidi karibu miaka 10

Sasa juzi kati tena apa umetokea ugomvi kati yetu mkubwa tu, alicharuka tu ghafla akinambia kuwa anahitaji niende nyumbani kwao nikaonekane ili nimchukue official kwenda kuishi nae, mimi nilimjibu kwamba asubiri asiwe na haraka, basi kujibu kuwa asiwe na haraka ikawa kosa, usiku huo baba mtoto katafutwa, dady mambo, jamaa kajibu poa, dady mimi nimechoka kukaa apa nataka kuondoka kama vipi tuje uko ulipo nitafutie mishe ya kufanya uko mimi apa nimechoka kuishi, au basi nipe pesa ya mtaji nianze biashara uko mbali na apa ' Aisee iliniuma sana na kujiuliza kapata wapi huu ujasiri tena wa kumweleza haya yote uyu bwana '

Mimi ni Afisa Katika Kampuni flani ya mawasilino, hivyo nimetrack simu yake huyu binti kila afanyalo katika simu yake naona, ule usiku alimtafuta sana jamaa ad kujaribu mara nyingi kumpigia lakini jamaa hakupokea simu, zaidi jamaa alimwandikia sms kuwa mbona unanieleza haya yote na hali nimesikia yupo mwanaume uko anayekutunza kwa kila kitu na matumizi anatoa, lakini akajibu kwa kushangaa kuwa hakuna mwanaume yeyote anayefanya chochote juu yake 'alinikana kwa jamaa ' , alinipigia simu nikapokea, nikamuuliza umefanya nini, akanijibu kuwa ajafanya kitu, nikamuuliza umewasiliana na nani na hayo yote uliyomweleza, akanijibu kuwa yeye amechoka kwa sababu nimegoma kujionyesha nyumbani kwao ili tukaishi pamoja, nikamjibu sawa kwaheri.

Nikamblock then program nayoitumia kumtrack nikai remote ifute kila kitu kwenye simu yake, na kweli cm ikawa formated, nilifanya hvo ili asiwe na kumbukumbu zangu zozote kwenye simu yake, ili iwe rahisi kwake kunisahau.

Alinitafuta kwa namba nyingine na kunambia hayupo tayari nitoke kwake kwa sababu bado ananipenda na kunambia kwamba pia sitoweza kutoka kwenye maisha yake, kauli hii ilinitisha kidogo, nikamjibu sawa ila hesabu kwamba mimi sitoweza kurudi tena kwako, TUMEACHANA. Aliwaambia dada zake wakaanza kunitafuta wakinisihi nisimwache mdogo wao bado ananihitaji kwa hasira nao niliwablock, kaka zake pia walianza izo habari nao pia nikawablock, wote nikawajibu kuwa sitoweza rudi kwa mdogo wao. Kama kawaida mwanamke anaonyesha tena hali ya kujuta mno, anaomba msamaha adi kero sasa, kila namba atakayoitumia kunitafuta sikujibu lolote zaidi niliiblock.

Kiukweli nimechoka na haya mapichapicha ninajuta tena kuingia kwenye mahusiano na huyu binti mwenye mtoto, dramer ni nyingi hasa za uyu baba mtoto pindi tukigombana, ni mjeuri, kuna wakati anayamiss yale maisha ya club japo nilimkataza akuna kwenda club na hakwenda, kuna tabia nyingi sana nilimbadilisha na tukaenda sawa, ata kuanza kuhudhuria nyumba za ibada.

SHIDA NI KWAMBA BABA YAKE MZAZI KANIPIGIA SIMU LEO, SIJAWAHI ONGEA NAE HUYU MZEE ZAIDI UWA NAMWONAGA TU KWA MBALI, ALIJITAMBULISHA LAKINI NIKAWA NIMESHAIFAHAMU SAUTI YAKE, MZEE ANANAMBIA BINTI YAO HAWAMWELEWI NI MNYONGE MNO, KULA HALI HAKUNA LOLOTE ANALOWEZA KUFANYA, WALIVYOJARIBU KUMBANA AMENITAJA MIMI NDO CHANZO, BABA ANANIOMBA NIYAMALIZE NA BINTI YAKE NA KWAMBA BINTI ANAONYESHA KUJUTIA SANA, MZEE ANANIOMBA MSAMAHA MIMI TENA!!! NA KUSEMA ANAFAHAMU KUWA YEYE AKUTAKIWA KUINGILIA LOLOTE KATIKA JAMBO HILI LAKINI ANANISIHI SANA NIYAMALIZE NA BINTIYE, AISEEEEEE!! MZEE KATIA HURUMA SANA NA NINAMHESHIMU SANA YULE MZEE DAAAH!!

SASA SIELEWI LA KUFANYA NA NILISHAISET AKILI YANGU KWAMBA SIMTAKI TENA UYU MWANAMKE, KWA HAYA ANAYOFANYA LEO VIPI KESHO NA KESHO KUTWA SI ATAZIDI KUJILENGESHA HIVIHIVI, MWISHO WA SIKU BABA MTOTO AMMEGE.

KWA SITUATION HII NAOMBENI USHAURI NIFANYE NINI?

Nawasilisha..........
Mimi: "Nashukuru kwa busara zako mzeeeee,ila kwasasa,naomba nisihusishwe kwa lolote na mwanao,jitahd awe krb na Mungu ktk kpnd hiki kigumu sio karibu na mm"

Unamblock na yeye
 
Kitendo cha baba mtu kukupigia simu eti kumuombea msamaha binti yake ambae wewe Ni mpenzi tu sio mume, Ni wazi hiyo familia nzima Ni wapumbavu mi huyo akiwa ndo baba yangu akafanya huo usenge itabidi nitafute baba mwingine tu, eti ooh mwanangu kawa mnyonge sana siku hizi msamehe fyoko fyoko,, hii mizee mipenda miteremko inadhalilisha sana familia na ukoo pumbavu zake babamkwe wako

Na wewe ulivyo boya unaona huruma eti kubembelezwa na bamkwe,, Yani huyo mzee anabembeleza tuhela twako sio wewe mshenzi mshenzi tu unaezidiwa akili na mtu uliyempiga gap la miaka 10
 
mkuu kwa uzoefu wangu
nimewahi kuwa na binti mmoja mwenye tabia mfanano na hizo japo yeye alikuwa ajazalishwa,kila nilipotaka kumuacha anamtumia mama yake kunirudisha.

badae nikaja gundua yule mpumbavu ni mzigo kwao na mama yake ananitumia kupunguza mzg na kero kwao (maana alikuwa akirudi kwao ni kero kwa kila kiumbe pale jumlisha na misaada ya kindezi toka kwangu inakata )

kwa iyo wakawa wanamuombea msamaha ili huo msalaba uje kwangu wao wabaki huru badae nikaachana nae hata mama yake alipo nitaka nimrudie nikakaza siku moja tumekutana na mama yake kwenye sherehe ananiambia baba ule msalaba (mwanae) ulio ukataa unatutesa sana pale nyumbani.

huyo mzee anakutaka umchukue maana huyo mtoto anafahamu ni msalaba hakuna wa kuubeba zaidi anataka akuangushie wewe na ukiweka huruma umekwenda na maji na utajuta maisha yako yote.

mwambie mzee utalifikiria,unamrusha masiku kibao akikuuliza unakausha badae unamwambia usha oa atatulia
 
Kweli apo umemaliza, nmeelewa zaidi
Sometimes wanaume hamnaga akili.nyie si mnaimbaga wanawake ni wengi? Sasa kama ni wengi ambao tena hawana watoto na hawajaolewa iweje wewe uingie kwenye mtego kama huu?
Ati kamtumia baba yake ndo unataka umuonee huruma? Kwa taarifa yako usipofanya maamuzi leo utakuja jutia . Mwanamke gani kila mkitofautiana anakimbilia kumtafuta mzazi mwenzie?
Fanya maamuzi utakaposoma ujumbe huu.kabla hujarogwa.
Kesho ni valentine basi atakudanganya na vi sms vya kukumiss. Atajileta ulivyo dhaifu na mjinga kichwa cha chini kitakizidi akili kichwa cha juu. Hutovaa condom atapata mimba na siku akipata mimba utajutaa hutopataga amani ya mahusiano kamwe.
 
P
Wadau habari, poleni na majukumu.
Kilichonileta apa leo ni kuomba ushauri je nifanye nini juu ya hili,

Niliingia kwenye mahusiano na mwanamke mmoja ambaye alizalishwa na jamaa uko tunduma, mwanzo sikuwa naiona athari yoyote ya kuwa na mwanamke ambaye alizaa nikiamini kwamba sio wanawake wote waliozaa ni shida hasa likija suala la baby dady dramer, lililonipa nguvu zaidi ni pale baada ya mwanamke kunambia yeye alizalizaa tu na huyu mwanaume na hawezi kuwa na mahusiano yoyote ya kimapenzi na baba mtoto zaidi ya kumlea mtoto na ukizingatia uyu bwana ni mume wa mtu wa ndoa uko alipo na nilihakikisha hili.

Nimeishi pamoja na uyu mwanamke mwaka sasa, japo tangu mwanzo kulishatokea vitimbwi vingi sana mara kwa mara na nilivivumilia, ni mwanamke flani hivi ambaye alishapitia ujana mwingi sana, ninavyosema ujana namaanisha alishakuwa mwanamke wa kujirusha sana uko ma night club na kadhalika.

Mimi ni kijana mwenye kazi yangu nzuri tu, na kwa kipato changu nna uwezo wa kumtimizia kila hitaji atakalo uyu mwanamke na sio yeye tu hadi uyu mtoto wake ambaye c wangu, namlea mtoto wa mwanaume mwenzangu bila kinyongo ' msinilaumu kwa hili ni kwa upendo tu '.

Sasa shida iliyopo ni hivi,, kila nikizinguana na uyu mwanamke ata liwe jambo dogo tu na hata kama alinikosea yeye then kiume tu nika react kuonyesha kutopendezewa na hilo jambo alilofanya, basi siku hiyo baba mtoto atatafutwa kwa speed zotee, ataitwa dady nikutumie picha za mwanao umwone, dady tutumie pesa za matumizi tumeishiwa, dady iv dady vile..

Hali hii hutokea mara kwa mara kwa huyu binti, kuna nyakati nilichoshwa na huu mtindo wake 'inakera' na nilimuuliza so why kila tukiwa hatupo sawa unamtafuta uyu mtu alinijibu kuwa ata yeye haelewi ni nini huwa kinampata kufanya hivi, lakini ilijirudia hivyo zaidi ya mara 3 hata baada ya kumuuliza tayari na kunijibu kuwa ata yeye haelewi lakini siku zingine alirudia kufanya hivyo.

Ikafika wakati nilichoka, nikamwambia tu kuwa siwezi tena kuwa pamoja nae kwa sababu alimweka baba mtoto kama tishio kwangu, tuliachana kwa ghadhabu sana na kila maneno ya kumkatisha tamaa niliyanena kwake, lakini hakutaka kukubaliana na hili, nilimblock kila kona ya mawasiliano baina yetu, lakini alionyesha kujutia hili na kuni ahidi kuwa awezi rudia tena kufanya hivyo, wakati huo alinifuata adi ofisini bila uwoga wowote alianza kulia na kutia huruma, wafanya kazi wenzangu waliliona hilo na kunishauri kuwa nimpe tu chance nyingine. Basi kwa sababu tumeumbiwa huruma nilimhurumia na kurudiana nae.

Mwanamke ni mzuri tena bado ni mdogo tu, ajachakaa kiivo, nimemzidi karibu miaka 10

Sasa juzi kati tena apa umetokea ugomvi kati yetu mkubwa tu, alicharuka tu ghafla akinambia kuwa anahitaji niende nyumbani kwao nikaonekane ili nimchukue official kwenda kuishi nae, mimi nilimjibu kwamba asubiri asiwe na haraka, basi kujibu kuwa asiwe na haraka ikawa kosa, usiku huo baba mtoto katafutwa, dady mambo, jamaa kajibu poa, dady mimi nimechoka kukaa apa nataka kuondoka kama vipi tuje uko ulipo nitafutie mishe ya kufanya uko mimi apa nimechoka kuishi, au basi nipe pesa ya mtaji nianze biashara uko mbali na apa ' Aisee iliniuma sana na kujiuliza kapata wapi huu ujasiri tena wa kumweleza haya yote uyu bwana '

Mimi ni Afisa Katika Kampuni flani ya mawasilino, hivyo nimetrack simu yake huyu binti kila afanyalo katika simu yake naona, ule usiku alimtafuta sana jamaa ad kujaribu mara nyingi kumpigia lakini jamaa hakupokea simu, zaidi jamaa alimwandikia sms kuwa mbona unanieleza haya yote na hali nimesikia yupo mwanaume uko anayekutunza kwa kila kitu na matumizi anatoa, lakini akajibu kwa kushangaa kuwa hakuna mwanaume yeyote anayefanya chochote juu yake 'alinikana kwa jamaa ' , alinipigia simu nikapokea, nikamuuliza umefanya nini, akanijibu kuwa ajafanya kitu, nikamuuliza umewasiliana na nani na hayo yote uliyomweleza, akanijibu kuwa yeye amechoka kwa sababu nimegoma kujionyesha nyumbani kwao ili tukaishi pamoja, nikamjibu sawa kwaheri.

Nikamblock then program nayoitumia kumtrack nikai remote ifute kila kitu kwenye simu yake, na kweli cm ikawa formated, nilifanya hvo ili asiwe na kumbukumbu zangu zozote kwenye simu yake, ili iwe rahisi kwake kunisahau.

Alinitafuta kwa namba nyingine na kunambia hayupo tayari nitoke kwake kwa sababu bado ananipenda na kunambia kwamba pia sitoweza kutoka kwenye maisha yake, kauli hii ilinitisha kidogo, nikamjibu sawa ila hesabu kwamba mimi sitoweza kurudi tena kwako, TUMEACHANA. Aliwaambia dada zake wakaanza kunitafuta wakinisihi nisimwache mdogo wao bado ananihitaji kwa hasira nao niliwablock, kaka zake pia walianza izo habari nao pia nikawablock, wote nikawajibu kuwa sitoweza rudi kwa mdogo wao. Kama kawaida mwanamke anaonyesha tena hali ya kujuta mno, anaomba msamaha adi kero sasa, kila namba atakayoitumia kunitafuta sikujibu lolote zaidi niliiblock.

Kiukweli nimechoka na haya mapichapicha ninajuta tena kuingia kwenye mahusiano na huyu binti mwenye mtoto, dramer ni nyingi hasa za uyu baba mtoto pindi tukigombana, ni mjeuri, kuna wakati anayamiss yale maisha ya club japo nilimkataza akuna kwenda club na hakwenda, kuna tabia nyingi sana nilimbadilisha na tukaenda sawa, ata kuanza kuhudhuria nyumba za ibada.

SHIDA NI KWAMBA BABA YAKE MZAZI KANIPIGIA SIMU LEO, SIJAWAHI ONGEA NAE HUYU MZEE ZAIDI UWA NAMWONAGA TU KWA MBALI, ALIJITAMBULISHA LAKINI NIKAWA NIMESHAIFAHAMU SAUTI YAKE, MZEE ANANAMBIA BINTI YAO HAWAMWELEWI NI MNYONGE MNO, KULA HALI HAKUNA LOLOTE ANALOWEZA KUFANYA, WALIVYOJARIBU KUMBANA AMENITAJA MIMI NDO CHANZO, BABA ANANIOMBA NIYAMALIZE NA BINTI YAKE NA KWAMBA BINTI ANAONYESHA KUJUTIA SANA, MZEE ANANIOMBA MSAMAHA MIMI TENA!!! NA KUSEMA ANAFAHAMU KUWA YEYE AKUTAKIWA KUINGILIA LOLOTE KATIKA JAMBO HILI LAKINI ANANISIHI SANA NIYAMALIZE NA BINTIYE, AISEEEEEE!! MZEE KATIA HURUMA SANA NA NINAMHESHIMU SANA YULE MZEE DAAAH!!

SASA SIELEWI LA KUFANYA NA NILISHAISET AKILI YANGU KWAMBA SIMTAKI TENA UYU MWANAMKE, KWA HAYA ANAYOFANYA LEO VIPI KESHO NA KESHO KUTWA SI ATAZIDI KUJILENGESHA HIVIHIVI, MWISHO WA SIKU BABA MTOTO AMMEGE.

KWA SITUATION HII NAOMBENI USHAURI NIFANYE NINI?

Nawasilisha..........
pole sana brother, tatizo laweza kuwa ni njaa ama tamaa za mama mtoto. Huyu mwanamke usirudiane tena ni mkosi huo hutoweza ishi nae kabisa I’m telling you. Huyo mzee Asikufanye ukatoa maamuzi kwasababu unamuheshim. Tell him una mtu mwingine na huyo mama wa mtoto akikupigia mwambie una mtu mwingine(mwanamke) angekuwa anajitambua asinge mwambia mzazi mwenzie angemwambia baba yake halafu baba yake angekutafuta wewe, lakin anamwambia baba wa mtoto kuhusu kugombana kwenu, ni makosa ya kibinadam lakin hapo usiruhusu mahusiano tena , huyo dem atakuja aliwe kiboga na baba mtoto kwenye Kitanda chako
 
Nimeachana nae kabisa aisee, jau

Sent from my Pixel 2 XL using JamiiForums mobile app
 
Mkuu, kwanza huyu binti kwenda kukutambulisha kwao kwa style ya migogoro tena mgogoro wenyewe wa kipumbavu namna hii tayari ni wa kupewa disco 100%.

Pili kwa situation ilivyo inaonekana nyumbani kwao malezi ni zero yani sifuri kabisa. Huyo sio mwanamke wa kuoa.

Tatu, wewe kwa umri wako haupaswi kuteswa na kitoto ulichokizidi 10yrs, yani 10 yrs umemzidi eti akuzidi ujanja? Wewe kwa umri wako unapaswa kuwa na mtu alotulia huko upstairs, upo umri wa kuoa. Unless labda umfanye mchepuko, lkn huyo sio wife material.

Hivyo chonde chonde mwanaume mwenzetu, chukua maamuzi magumu.

Mzee wake muelezee situation nzima ilivyo, tena usithubutu kwenda kupatanishwa kwani utakuwa umetia doa maisha yako. Unaenda kupatanishwa naye wewe kama nani wakati mlikuwa hamjarasimishana? Litakuwa doa kubwa sana.
Mtoa mada fuata ushauri huu, jamaa kamaliza kila kitu hapa.
 
Binti wa mwaka 2000 (21 years) ila amepitia 'ujana' saaanaa, najaribu kufikiria tu kala huo ujana kwa miaka mingapi!!
 
Mkuu nisikilize mimi, HUYO NI JIPU.

Japokuwa anaweza akawa anakupenda kweli lakini ukimchukua hautakaa uwe na amani kwenye maisha yako. Kunguru hafugiki, tena huyo ni kunguru mkongwe.

Cha kufanya mtafute mzazi mwenzie muongee kiume, mwambie akuambie siri ni ipi mpaka wakaachana na huyo binti ilihali walishazaa naye, huyo ndio atakupa jibu lenye uhakika na litakalokupa final decision.

Huyo binti yuko desperate kwako tuu, hana lolotee.
 
Nilichojifunza kwenye huu uzi kuna tofauti kubwa kati ya Dady na BABA

Wakuu hivi Makonda alimwambiaga Lulu, Dady is nini tena??
 
Wadau habari, poleni na majukumu.
Kilichonileta apa leo ni kuomba ushauri je nifanye nini juu ya hili,

Niliingia kwenye mahusiano na mwanamke mmoja ambaye alizalishwa na jamaa uko tunduma, mwanzo sikuwa naiona athari yoyote ya kuwa na mwanamke ambaye alizaa nikiamini kwamba sio wanawake wote waliozaa ni shida hasa likija suala la baby dady dramer, lililonipa nguvu zaidi ni pale baada ya mwanamke kunambia yeye alizalizaa tu na huyu mwanaume na hawezi kuwa na mahusiano yoyote ya kimapenzi na baba mtoto zaidi ya kumlea mtoto na ukizingatia uyu bwana ni mume wa mtu wa ndoa uko alipo na nilihakikisha hili.

Nimeishi pamoja na uyu mwanamke mwaka sasa, japo tangu mwanzo kulishatokea vitimbwi vingi sana mara kwa mara na nilivivumilia, ni mwanamke flani hivi ambaye alishapitia ujana mwingi sana, ninavyosema ujana namaanisha alishakuwa mwanamke wa kujirusha sana uko ma night club na kadhalika.

Mimi ni kijana mwenye kazi yangu nzuri tu, na kwa kipato changu nna uwezo wa kumtimizia kila hitaji atakalo uyu mwanamke na sio yeye tu hadi uyu mtoto wake ambaye c wangu, namlea mtoto wa mwanaume mwenzangu bila kinyongo ' msinilaumu kwa hili ni kwa upendo tu '.

Sasa shida iliyopo ni hivi,, kila nikizinguana na uyu mwanamke ata liwe jambo dogo tu na hata kama alinikosea yeye then kiume tu nika react kuonyesha kutopendezewa na hilo jambo alilofanya, basi siku hiyo baba mtoto atatafutwa kwa speed zotee, ataitwa dady nikutumie picha za mwanao umwone, dady tutumie pesa za matumizi tumeishiwa, dady iv dady vile..

Hali hii hutokea mara kwa mara kwa huyu binti, kuna nyakati nilichoshwa na huu mtindo wake 'inakera' na nilimuuliza so why kila tukiwa hatupo sawa unamtafuta uyu mtu alinijibu kuwa ata yeye haelewi ni nini huwa kinampata kufanya hivi, lakini ilijirudia hivyo zaidi ya mara 3 hata baada ya kumuuliza tayari na kunijibu kuwa ata yeye haelewi lakini siku zingine alirudia kufanya hivyo.

Ikafika wakati nilichoka, nikamwambia tu kuwa siwezi tena kuwa pamoja nae kwa sababu alimweka baba mtoto kama tishio kwangu, tuliachana kwa ghadhabu sana na kila maneno ya kumkatisha tamaa niliyanena kwake, lakini hakutaka kukubaliana na hili, nilimblock kila kona ya mawasiliano baina yetu, lakini alionyesha kujutia hili na kuni ahidi kuwa awezi rudia tena kufanya hivyo, wakati huo alinifuata adi ofisini bila uwoga wowote alianza kulia na kutia huruma, wafanya kazi wenzangu waliliona hilo na kunishauri kuwa nimpe tu chance nyingine. Basi kwa sababu tumeumbiwa huruma nilimhurumia na kurudiana nae.

Mwanamke ni mzuri tena bado ni mdogo tu, ajachakaa kiivo, nimemzidi karibu miaka 10

Sasa juzi kati tena apa umetokea ugomvi kati yetu mkubwa tu, alicharuka tu ghafla akinambia kuwa anahitaji niende nyumbani kwao nikaonekane ili nimchukue official kwenda kuishi nae, mimi nilimjibu kwamba asubiri asiwe na haraka, basi kujibu kuwa asiwe na haraka ikawa kosa, usiku huo baba mtoto katafutwa, dady mambo, jamaa kajibu poa, dady mimi nimechoka kukaa apa nataka kuondoka kama vipi tuje uko ulipo nitafutie mishe ya kufanya uko mimi apa nimechoka kuishi, au basi nipe pesa ya mtaji nianze biashara uko mbali na apa ' Aisee iliniuma sana na kujiuliza kapata wapi huu ujasiri tena wa kumweleza haya yote uyu bwana '

Mimi ni Afisa Katika Kampuni flani ya mawasilino, hivyo nimetrack simu yake huyu binti kila afanyalo katika simu yake naona, ule usiku alimtafuta sana jamaa ad kujaribu mara nyingi kumpigia lakini jamaa hakupokea simu, zaidi jamaa alimwandikia sms kuwa mbona unanieleza haya yote na hali nimesikia yupo mwanaume uko anayekutunza kwa kila kitu na matumizi anatoa, lakini akajibu kwa kushangaa kuwa hakuna mwanaume yeyote anayefanya chochote juu yake 'alinikana kwa jamaa ' , alinipigia simu nikapokea, nikamuuliza umefanya nini, akanijibu kuwa ajafanya kitu, nikamuuliza umewasiliana na nani na hayo yote uliyomweleza, akanijibu kuwa yeye amechoka kwa sababu nimegoma kujionyesha nyumbani kwao ili tukaishi pamoja, nikamjibu sawa kwaheri.

Nikamblock then program nayoitumia kumtrack nikai remote ifute kila kitu kwenye simu yake, na kweli cm ikawa formated, nilifanya hvo ili asiwe na kumbukumbu zangu zozote kwenye simu yake, ili iwe rahisi kwake kunisahau.

Alinitafuta kwa namba nyingine na kunambia hayupo tayari nitoke kwake kwa sababu bado ananipenda na kunambia kwamba pia sitoweza kutoka kwenye maisha yake, kauli hii ilinitisha kidogo, nikamjibu sawa ila hesabu kwamba mimi sitoweza kurudi tena kwako, TUMEACHANA. Aliwaambia dada zake wakaanza kunitafuta wakinisihi nisimwache mdogo wao bado ananihitaji kwa hasira nao niliwablock, kaka zake pia walianza izo habari nao pia nikawablock, wote nikawajibu kuwa sitoweza rudi kwa mdogo wao. Kama kawaida mwanamke anaonyesha tena hali ya kujuta mno, anaomba msamaha adi kero sasa, kila namba atakayoitumia kunitafuta sikujibu lolote zaidi niliiblock.

Kiukweli nimechoka na haya mapichapicha ninajuta tena kuingia kwenye mahusiano na huyu binti mwenye mtoto, dramer ni nyingi hasa za uyu baba mtoto pindi tukigombana, ni mjeuri, kuna wakati anayamiss yale maisha ya club japo nilimkataza akuna kwenda club na hakwenda, kuna tabia nyingi sana nilimbadilisha na tukaenda sawa, ata kuanza kuhudhuria nyumba za ibada.

SHIDA NI KWAMBA BABA YAKE MZAZI KANIPIGIA SIMU LEO, SIJAWAHI ONGEA NAE HUYU MZEE ZAIDI UWA NAMWONAGA TU KWA MBALI, ALIJITAMBULISHA LAKINI NIKAWA NIMESHAIFAHAMU SAUTI YAKE, MZEE ANANAMBIA BINTI YAO HAWAMWELEWI NI MNYONGE MNO, KULA HALI HAKUNA LOLOTE ANALOWEZA KUFANYA, WALIVYOJARIBU KUMBANA AMENITAJA MIMI NDO CHANZO, BABA ANANIOMBA NIYAMALIZE NA BINTI YAKE NA KWAMBA BINTI ANAONYESHA KUJUTIA SANA, MZEE ANANIOMBA MSAMAHA MIMI TENA!!! NA KUSEMA ANAFAHAMU KUWA YEYE AKUTAKIWA KUINGILIA LOLOTE KATIKA JAMBO HILI LAKINI ANANISIHI SANA NIYAMALIZE NA BINTIYE, AISEEEEEE!! MZEE KATIA HURUMA SANA NA NINAMHESHIMU SANA YULE MZEE DAAAH!!

SASA SIELEWI LA KUFANYA NA NILISHAISET AKILI YANGU KWAMBA SIMTAKI TENA UYU MWANAMKE, KWA HAYA ANAYOFANYA LEO VIPI KESHO NA KESHO KUTWA SI ATAZIDI KUJILENGESHA HIVIHIVI, MWISHO WA SIKU BABA MTOTO AMMEGE.

KWA SITUATION HII NAOMBENI USHAURI NIFANYE NINI?

Nawasilisha..........
Dah..mimi mijitu mijinga mijinga km mtoa mada huwa inanikera sana najuta kwanini nilisoma hadi mwisho
 
Mkuu, kwanza huyu binti kwenda kukutambulisha kwao kwa style ya migogoro tena mgogoro wenyewe wa kipumbavu namna hii tayari ni wa kupewa disco 100%.

Pili kwa situation ilivyo inaonekana nyumbani kwao malezi ni zero yani sifuri kabisa. Huyo sio mwanamke wa kuoa.

Tatu, wewe kwa umri wako haupaswi kuteswa na kitoto ulichokizidi 10yrs, yani 10 yrs umemzidi eti akuzidi ujanja? Wewe kwa umri wako unapaswa kuwa na mtu alotulia huko upstairs, upo umri wa kuoa. Unless labda umfanye mchepuko, lkn huyo sio wife material.

Hivyo chonde chonde mwanaume mwenzetu, chukua maamuzi magumu.

Mzee wake muelezee situation nzima ilivyo, tena usithubutu kwenda kupatanishwa kwani utakuwa umetia doa maisha yako. Unaenda kupatanishwa naye wewe kama nani wakati mlikuwa hamjarasimishana? Litakuwa doa kubwa sana.
Yap huu ndio ushauri sahihi kabisa,nakushauri uufate ushauri huu.kuna mabinti huwa ving'ang'anizi balaa,ukijilegeza utajikuta ni mtu wa kuvurugwa nae tu na kadri unavyopoteza muda nae ndivyo unavyojichelewesha kupata mtu wa maana wa kutengeneza nae maisha,huyo Dada jamaa kama karibu ingekuwa kila mkigombana anamtafuta amle ndio atulie,hafai piga block mpaka baba yake maana nae walewale we utaingiliaje mahusiano yasiyo rasmi ya mwanao?
 
Mku
Wadau habari, poleni na majukumu.
Kilichonileta apa leo ni kuomba ushauri je nifanye nini juu ya hili,

Niliingia kwenye mahusiano na mwanamke mmoja ambaye alizalishwa na jamaa uko tunduma, mwanzo sikuwa naiona athari yoyote ya kuwa na mwanamke ambaye alizaa nikiamini kwamba sio wanawake wote waliozaa ni shida hasa likija suala la baby dady dramer, lililonipa nguvu zaidi ni pale baada ya mwanamke kunambia yeye alizalizaa tu na huyu mwanaume na hawezi kuwa na mahusiano yoyote ya kimapenzi na baba mtoto zaidi ya kumlea mtoto na ukizingatia uyu bwana ni mume wa mtu wa ndoa uko alipo na nilihakikisha hili.

Nimeishi pamoja na uyu mwanamke mwaka sasa, japo tangu mwanzo kulishatokea vitimbwi vingi sana mara kwa mara na nilivivumilia, ni mwanamke flani hivi ambaye alishapitia ujana mwingi sana, ninavyosema ujana namaanisha alishakuwa mwanamke wa kujirusha sana uko ma night club na kadhalika.

Mimi ni kijana mwenye kazi yangu nzuri tu, na kwa kipato changu nna uwezo wa kumtimizia kila hitaji atakalo uyu mwanamke na sio yeye tu hadi uyu mtoto wake ambaye c wangu, namlea mtoto wa mwanaume mwenzangu bila kinyongo ' msinilaumu kwa hili ni kwa upendo tu '.

Sasa shida iliyopo ni hivi,, kila nikizinguana na uyu mwanamke ata liwe jambo dogo tu na hata kama alinikosea yeye then kiume tu nika react kuonyesha kutopendezewa na hilo jambo alilofanya, basi siku hiyo baba mtoto atatafutwa kwa speed zotee, ataitwa dady nikutumie picha za mwanao umwone, dady tutumie pesa za matumizi tumeishiwa, dady iv dady vile..

Hali hii hutokea mara kwa mara kwa huyu binti, kuna nyakati nilichoshwa na huu mtindo wake 'inakera' na nilimuuliza so why kila tukiwa hatupo sawa unamtafuta uyu mtu alinijibu kuwa ata yeye haelewi ni nini huwa kinampata kufanya hivi, lakini ilijirudia hivyo zaidi ya mara 3 hata baada ya kumuuliza tayari na kunijibu kuwa ata yeye haelewi lakini siku zingine alirudia kufanya hivyo.

Ikafika wakati nilichoka, nikamwambia tu kuwa siwezi tena kuwa pamoja nae kwa sababu alimweka baba mtoto kama tishio kwangu, tuliachana kwa ghadhabu sana na kila maneno ya kumkatisha tamaa niliyanena kwake, lakini hakutaka kukubaliana na hili, nilimblock kila kona ya mawasiliano baina yetu, lakini alionyesha kujutia hili na kuni ahidi kuwa awezi rudia tena kufanya hivyo, wakati huo alinifuata adi ofisini bila uwoga wowote alianza kulia na kutia huruma, wafanya kazi wenzangu waliliona hilo na kunishauri kuwa nimpe tu chance nyingine. Basi kwa sababu tumeumbiwa huruma nilimhurumia na kurudiana nae.

Mwanamke ni mzuri tena bado ni mdogo tu, ajachakaa kiivo, nimemzidi karibu miaka 10

Sasa juzi kati tena apa umetokea ugomvi kati yetu mkubwa tu, alicharuka tu ghafla akinambia kuwa anahitaji niende nyumbani kwao nikaonekane ili nimchukue official kwenda kuishi nae, mimi nilimjibu kwamba asubiri asiwe na haraka, basi kujibu kuwa asiwe na haraka ikawa kosa, usiku huo baba mtoto katafutwa, dady mambo, jamaa kajibu poa, dady mimi nimechoka kukaa apa nataka kuondoka kama vipi tuje uko ulipo nitafutie mishe ya kufanya uko mimi apa nimechoka kuishi, au basi nipe pesa ya mtaji nianze biashara uko mbali na apa ' Aisee iliniuma sana na kujiuliza kapata wapi huu ujasiri tena wa kumweleza haya yote uyu bwana '

Mimi ni Afisa Katika Kampuni flani ya mawasilino, hivyo nimetrack simu yake huyu binti kila afanyalo katika simu yake naona, ule usiku alimtafuta sana jamaa ad kujaribu mara nyingi kumpigia lakini jamaa hakupokea simu, zaidi jamaa alimwandikia sms kuwa mbona unanieleza haya yote na hali nimesikia yupo mwanaume uko anayekutunza kwa kila kitu na matumizi anatoa, lakini akajibu kwa kushangaa kuwa hakuna mwanaume yeyote anayefanya chochote juu yake 'alinikana kwa jamaa ' , alinipigia simu nikapokea, nikamuuliza umefanya nini, akanijibu kuwa ajafanya kitu, nikamuuliza umewasiliana na nani na hayo yote uliyomweleza, akanijibu kuwa yeye amechoka kwa sababu nimegoma kujionyesha nyumbani kwao ili tukaishi pamoja, nikamjibu sawa kwaheri.

Nikamblock then program nayoitumia kumtrack nikai remote ifute kila kitu kwenye simu yake, na kweli cm ikawa formated, nilifanya hvo ili asiwe na kumbukumbu zangu zozote kwenye simu yake, ili iwe rahisi kwake kunisahau.

Alinitafuta kwa namba nyingine na kunambia hayupo tayari nitoke kwake kwa sababu bado ananipenda na kunambia kwamba pia sitoweza kutoka kwenye maisha yake, kauli hii ilinitisha kidogo, nikamjibu sawa ila hesabu kwamba mimi sitoweza kurudi tena kwako, TUMEACHANA. Aliwaambia dada zake wakaanza kunitafuta wakinisihi nisimwache mdogo wao bado ananihitaji kwa hasira nao niliwablock, kaka zake pia walianza izo habari nao pia nikawablock, wote nikawajibu kuwa sitoweza rudi kwa mdogo wao. Kama kawaida mwanamke anaonyesha tena hali ya kujuta mno, anaomba msamaha adi kero sasa, kila namba atakayoitumia kunitafuta sikujibu lolote zaidi niliiblock.

Kiukweli nimechoka na haya mapichapicha ninajuta tena kuingia kwenye mahusiano na huyu binti mwenye mtoto, dramer ni nyingi hasa za uyu baba mtoto pindi tukigombana, ni mjeuri, kuna wakati anayamiss yale maisha ya club japo nilimkataza akuna kwenda club na hakwenda, kuna tabia nyingi sana nilimbadilisha na tukaenda sawa, ata kuanza kuhudhuria nyumba za ibada.

SHIDA NI KWAMBA BABA YAKE MZAZI KANIPIGIA SIMU LEO, SIJAWAHI ONGEA NAE HUYU MZEE ZAIDI UWA NAMWONAGA TU KWA MBALI, ALIJITAMBULISHA LAKINI NIKAWA NIMESHAIFAHAMU SAUTI YAKE, MZEE ANANAMBIA BINTI YAO HAWAMWELEWI NI MNYONGE MNO, KULA HALI HAKUNA LOLOTE ANALOWEZA KUFANYA, WALIVYOJARIBU KUMBANA AMENITAJA MIMI NDO CHANZO, BABA ANANIOMBA NIYAMALIZE NA BINTI YAKE NA KWAMBA BINTI ANAONYESHA KUJUTIA SANA, MZEE ANANIOMBA MSAMAHA MIMI TENA!!! NA KUSEMA ANAFAHAMU KUWA YEYE AKUTAKIWA KUINGILIA LOLOTE KATIKA JAMBO HILI LAKINI ANANISIHI SANA NIYAMALIZE NA BINTIYE, AISEEEEEE!! MZEE KATIA HURUMA SANA NA NINAMHESHIMU SANA YULE MZEE DAAAH!!

SASA SIELEWI LA KUFANYA NA NILISHAISET AKILI YANGU KWAMBA SIMTAKI TENA UYU MWANAMKE, KWA HAYA ANAYOFANYA LEO VIPI KESHO NA KESHO KUTWA SI ATAZIDI KUJILENGESHA HIVIHIVI, MWISHO WA SIKU BABA MTOTO AMMEGE.

KWA SITUATION HII NAOMBENI USHAURI NIFANYE NINI?

Nawasilisha.........

nimepata hasira kinoma baada ya kusoma hii story utadhan mimi ndo wewe mwandishi
 
Achana naye. Kwa upumbavu wake kuna siku atajikasirisha afu akalale na huyo abby daddy wake kama sio kumbebea mimba kabisa ili kukukomesha. Halafu wewe sio Mungu kwamba hatoweza kuishi bila wewe; kama aliweza kuendelea na maisha bila ya mzazi mwenzie, basi anaweza akaendelea na maisha yake bila wewe pia. Muache apate akili, akipata mwanaume mwingine atamuheshimu

Ingawa nina uhakika binti bado unampenda, hapa kuja kuomba ushauri unatamani tukutie moyo ili umsamehe. Na huwezji kumshauri mtu kuachana akakuelewa, kama yeye mwenyewe hajaamua luachana. Ungekuwa umeamua kuachana naye, hata ushauri usingekuja kuomba.So akili kumkichwa
Umemaliza kila kitu. Nakazia hapa.
 
Weeee naeee unampenda.
Mrudie usituchoshe.

Maelezo mengi, ionekane unahitajikaaaaaa.

Kumbe unajihitaji mwenyewe kwenye relationship uliyonayo na wewe mwenyewe.
Sa we kwa akili zako kuna mwanamke hapo?
Na familia nzima inekuona we ndo bwege lao.

Wanakuchezeaje pichaaa.

Heeeb mi nilale
 
Back
Top Bottom