KANCHI JF-Expert Member Sep 3, 2011 1,533 230 Jul 28, 2013 #1 Nawatakia jumapili njema na mfungo mwema pia . Mia mia pamoja sana .
life is Short JF-Expert Member Apr 1, 2013 4,741 3,031 Jul 28, 2013 #2 asante and Good Luck happy wikendi!
Kijana leo JF-Expert Member Apr 6, 2012 2,861 808 Jul 28, 2013 #4 du nilijua kuna taarifa muhimu, aya asante.
Ghiti Milimo JF-Expert Member Jul 18, 2011 4,344 6,403 Jul 28, 2013 #6 Kijana leo said: du nilijua kuna taarifa muhimu, aya asante. Click to expand... Nami ndicho kilichonivutia! Haidhuru! Shukraaaaan!!
Kijana leo said: du nilijua kuna taarifa muhimu, aya asante. Click to expand... Nami ndicho kilichonivutia! Haidhuru! Shukraaaaan!!
Mamndenyi JF-Expert Member Apr 11, 2011 40,599 52,298 Jul 28, 2013 #7 Ramadhan Kareem MziziMkavu Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Herbalist Dr MziziMkavu JF-Expert Member Feb 3, 2009 42,318 33,125 Jul 28, 2013 #8 Mamndenyi said: Ramadhan Kareem MziziMkavu Click to expand... Sikukuu nitakuwa mgeni wako utanipikia nini bibie Mamndenyi? Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Mamndenyi said: Ramadhan Kareem MziziMkavu Click to expand... Sikukuu nitakuwa mgeni wako utanipikia nini bibie Mamndenyi?
Mamndenyi JF-Expert Member Apr 11, 2011 40,599 52,298 Jul 29, 2013 #9 Haaaa MziziMkavu kupika mie ndiyo mwenyewe, napika mapishi yooote, ukitaka hata wali wa maua mie ntakupikia......... karibu sana. MziziMkavu said: Sikukuu nitakuwa mgeni wako utanipikia nini bibie Mamndenyi? Click to expand... Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Haaaa MziziMkavu kupika mie ndiyo mwenyewe, napika mapishi yooote, ukitaka hata wali wa maua mie ntakupikia......... karibu sana. MziziMkavu said: Sikukuu nitakuwa mgeni wako utanipikia nini bibie Mamndenyi? Click to expand...