Wana JF wa Dar es Salaa tujumuike kwa hili!!

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,356
2,000
Wakuu wa hapa Dar es salaam kama mnakumbuka kule Arusha kulianzishwa mada ya safari ya kwenda tanga na kwa saada soma hii thread https://www.jamiiforums.com/jf-chit...ha-wing-safari-ya-kufunga-mwaka-hii-hapa.html
Tunaomba kwawale walio na nia yakwenda tuweze kuji organize tuone hii safari yetu tunaipanga vipi tunaweza kukodisha Marcopolo moja tukaungana na wenzetu hivyo wale wenye nia toa details tuone niwapi tunaweza kukutana na kupanga!
Naomba michango yenu Mtambuzi Smile nivea calorine danzi Nicas Mtei King'asti na wengine endelea kuleta mawazo yenu tunawasubiri kwa hamu kwani muda ndo unazidi kuyoyoma.
 
Nicas Mtei

JF-Expert Member
Dec 21, 2010
11,563

Safi sana Kaka Kiiza. soon ntarud Dar. 2takutana.
 
Last edited by a moderator:

Nicas Mtei

JF-Expert Member
Dec 21, 2010
11,563
2,000
Hahahah! Mtapanga weee..... tutatokezea watatu. Ngoja niangalie mwitikio.

Vinginevyo mi nakamata bajaji napitia bagamoyo huyoooo Tanga kwa Madame B, natongozana kidogo na Kijino then naungana na wanaApollo Tangaaa!

Hakuna kurudi leo.

Wakizngua kufika vikaoni itabidi tutoe adhabu. Yasije yakatokea yale ya Brajec
 
Last edited by a moderator:

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom