BabaMorgan
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 5,188
- 14,345
Yale yale!!Ahsante sana kwa post yenye ujumbe mzuri ni kweli humu kuna watu wanamoyozur sana wa kutoa msaada na wengi ni wakatisha tamaa. Yaan mtu kapost jambo akiwa anaomba ushaur afu jitu linakoment ujinga
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ungeeleza na shida itapendeza zaidi.Hebu anzeni kunisaidia mimi jamani [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kiukweli huwa naogopa kutangaza shida/tatizo humu JF maana watatokea wa kukujeli hadi ujute kwanini umesema, mtu unaishia kufa ndani kwa ndani.Mkuu ungeeleza na shida itapendeza zaid
Mkuu, Hiyo ni kweli lakn si wote wata-comment pumba kunawatu wako very smart umu jf japo si kwa kutoa mchango wa pesa hapana ila mawazo very brilliant japo unatakiwa kujiaanda kiakil kwa kejer but be free take as if nobody know u.Kiukweli huwa naogopa kutangaza shida/tatizo humu jf maana watatokea wa kukujeli hadi ujute kwanini umesema, mtu unaishia kufa ndani kwa ndani.
Sina moyo wa kuvumilia kejeli [emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha tu mkuu.mkuu iyo ni kweli lakn si wote wata comment pumba kunawatu wako very smart umu jf japo si kwa kutoa mchango wa pesa hapana ila mawazo very brilliant japo unatakiwa kujiaanda kiakil kwa kejer but be free take as if nobody know u
yaaap take your time thinking but stil ujue Kuna watu watakuwa na ww bega to bega ukiwa tayal kufunguka jf ni Zaidi ya ndugu more than a friend
Asante sanayaaap take your time thinking but stil ujue Kuna watu watakuwa na ww bega to bega ukiwa tayal kufunguka jf ni Zaidi ya ndugu more than a friend
Si kweli. Unamdanganya huyu binti.. msaada hauombwi huja automatically.yaaap take your time thinking but stil ujue Kuna watu watakuwa na ww bega to bega ukiwa tayal kufunguka jf ni Zaidi ya ndugu more than a friend
Well said kiongozi.Si kweli. Unamdanganya huyu binti.. msaada hauombwi huja automatically.
Akieleza shida zake humu sana ataishia kuzodolewa wengine wata take advantage ya shida zake ili kumpata.
Bora ubaki na shida zako kuliko kuzianika mitandaoni..to the strangers
Pamoja sana kiongozi
Si kweli. Unamdanganya huyu binti.. msaada hauombwi huja automatically.
Akieleza shida zake humu sana ataishia kuzodolewa wengine wata take advantage ya shida zake ili kumpata.
Bora ubaki na shida zako kuliko kuzianika mitandaoni..to the strangers
Mimi huwa sioni tabu kueleza shida popote ili mradi sivunji sheria. Mungu amenikutanisha na watu wengi humu jf ambao nisingewapatavkwingine. Pamoja na kuwa wapo wenye kejeli ila wakusaidia pia wapo.Kiukweli huwa naogopa kutangaza shida/tatizo humu jf maana watatokea wa kukujeli hadi ujute kwanini umesema, mtu unaishia kufa ndani kwa ndani.
Sina moyo wa kuvumilia kejeli [emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha wanasema "Kula Uliwe ndio mwendo wa sasa".Si kweli. Unamdanganya huyu binti.. msaada hauombwi huja automatically.
Akieleza shida zake humu sana ataishia kuzodolewa wengine wata take advantage ya shida zake ili kumpata.
Bora ubaki na shida zako kuliko kuzianika mitandaoni..to the strangers
Kweli hiyo ndo maana halisi ya ustaarabu.Mimi ni mtu wa utani
Sana, Ila linapofika suala la matatzo au inshu yyt serious utani naweka kandoo, km siwezi kutoa msaada napita kimyaa.
Tunaumiza wengi sana humu ila tunachukulia poa tuu..
Nashukuru sijui mara ya mwisho kukwaruzana na member ni lini humu..
Na hua ikitokea hivyo huyo mtu namwomba msamaha kwenye wall na namfuata PM..