Kuna watu humu ndani wana misheni zao aisee, kuna Mwashambwa kazi yake kupandisha watu hasira, huyu Chiwawa anapenda tu kufanywa kituko 🤣Sisi sio watoto wenzio sawa Chiwawa View attachment 3695264
Huyu ana shida,tena kubwa🙌Pesa anadai apewe tuu ishirini
Mimi nina ids zaidi ya tano humu na zote zimeshaweka comments zake kwenye huu uzi lakini sijawahi kukutana na hizi changamoto unazozipata. Why?Hakika, mindset na level of awareness iko soo low to the point when change comes people neglect it
Dogo unajua kuburudisha na kuchekesha watu, hivi kweli upo serious na hii dunia ?Kituko?
Are you mad?
Shida Gani ?Huyu ana shida,tena kubwa🙌
Afuatiliwe.
Ndiyo lkn kujieleza hapana,MA first born huwa tuanenda direct sio kuficha mambo
Kuna shida kubwa zaidi ya pesa?? Mpenzi dogo pesa.Shida Gani ?
Iweke wazi apate msaada.
Umeanza kudeka😁,,,futa Uzi.Wabongo ni watu wasio na reasoning kabisa..
Na ukiwaambia huu ukweli wanaanza misemo yao ya kidwanzi..
Anyways, wala siwasanui tena maana, it's ingrained in them to live in survival mode
Kumbe ,Kuna shida kubwa zaidi ya pesa?? Mpenzi dogo pesa.
Kwanza itoe hii hoja yako kwenye huu uzi wako kisha ndio tuendelee,mpka kuna wengine wananizushia kuwa mimi omba omba.... Sipendezwi na hilo kabisa.
Kijana yupo serious na Dunia ila Dunia ndio haipo serious nae.Dogo unajua kuburudisha na kuchekesha watu, hivi kweli upo serious na hii dunia?