Wana Jf nisaidie hili! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wana Jf nisaidie hili!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by KakaKiiza, Jul 24, 2011.

 1. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #1
  Jul 24, 2011
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,541
  Likes Received: 2,239
  Trophy Points: 280
  Mimi nilikuwa ktk mahusiano na na mtu kwa muda wa miaka 3,ila ktk miaka hiyo nimekuwa na matukio mengi hasa katika swala la mahusiano mwenzangu aliwahi kuwa katika mahusiano zaidi yangu! Kwanza hakuniambia kama wana uhusiano mpaka nilipo gundua mwenyewe akaomba samahani nikamsamehe,mara yapili nikambamba na msg yajamaa kumubananisha akakubali nikamsamehe tena!tukakaa juzi nikakuta tai kwake kumwuliza akarusha nikamwambia kama uniambii itz over baadae akasema ya mfanyakazi mwenzie ila nikajua ananichakachua nikamtema nikamshmnsha ktk gari.Sasa tumeachana ila sasa na haha mimi naomba turudiane nayeye hataki!ila akija ofcn nikifunga mlango napewa ila kimagutu ila sijaona waku cover nafasi yake je nifanyeje?nampenda status yangu married na usihoji maisha nikupanga na kupanga nikuchagua!
   
 2. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #2
  Jul 24, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,463
  Trophy Points: 280
  kauzu zaidi ya dagaaa lol
   
 3. Kitty Galore

  Kitty Galore JF-Expert Member

  #3
  Jul 24, 2011
  Joined: May 24, 2011
  Messages: 347
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  kachoka kuliwa na waume za watu, kaamua kukufanyia visa,halafu na wewe uache ukahaba, si ubaki na mkeo?
   
 4. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #4
  Jul 24, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,463
  Trophy Points: 280
  kumbe hili neno kuliwa ni fair?wanawake mnalipenda kumbe?nilifikiri tukilitumia sisi mnaona mnadhalilishwa,kumbe sivyo?
  so mnaliwa?????/lol
   
 5. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #5
  Jul 24, 2011
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  ........Mwe!! hebu rudi kwenye thread ya Babu Asprin kuna alosema kuwa kama amekukubalia wewe ambaye ni mume wa mtu, nini kitamzuia asimkubalie yule, na yule na yule?? Ukikubali kuwa na nyumba ndogo ya wizi kubali kusashare......afterall Sharing is Caring LOL

  Mweyego, pole ni dhahiri unampenda sana but hebu ifikirie afya yako, ya mkeo na wanenu kama mnao. Huko kushindwa kujizuia ni kwa sababu hujajipa nafasi ya kuwa mbali naye (maana umeandika umemtema juzi, na leo unataka mrudiane!! au mi cjaelewa?)
   
 6. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #6
  Jul 24, 2011
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,541
  Likes Received: 2,239
  Trophy Points: 280
  Mimi nilikuwa ktk mahusiano na na mtu kwa muda wa miaka 3,ila ktk miaka hiyo nimekuwa na matukio mengi hasa katika swala la mahusiano mwenzangu aliwahi kuwa katika mahusiano zaidi yangu!
  Kwanza hakuniambia kama wana uhusiano mpaka nilipo gundua mwenyewe akaomba samahani nikamsamehe,mara yapili nikambamba na msg yajamaa kumubananisha akakubali nikamsamehe tena!tukakaa juzi nikakuta tai kwake kumwuliza akarusha nikamwambia kama uniambii itz over baadae akasema ya mfanyakazi mwenzie ila nikajua ananichakachua nikamtema nikamshmnsha ktk gari.Sasa tumeachana ila sasa na haha mimi naomba turudiane nayeye hataki!ila akija ofcn nikifunga mlango napewa ila kimagutu ila sijaona waku cover nafasi yake je nifanyeje?nampenda status yangu married na usihoji maisha nikupanga na kupanga nikuchagua!
   
 7. Nemo

  Nemo JF-Expert Member

  #7
  Jul 24, 2011
  Joined: Feb 22, 2011
  Messages: 661
  Likes Received: 471
  Trophy Points: 80
  Kakakiiza
  Because of your status I see no wrong in what she has done. Everyone needs someone of their own, and unfortunately it is obvious that you can't be that for her! So stop being selfish and acha wivu wa kijinga.................................That said, what you can do is maybe apologize to her, and try to appeal to her sense of logic instead . i.e Let her know that your haste decision, that you now regret was not from plain stupid jelousy only, but rather other serious concerns like magonjwa possibly!??
   
 8. wende

  wende JF-Expert Member

  #8
  Jul 24, 2011
  Joined: Sep 6, 2009
  Messages: 716
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Mwanajamiione,ur perfectly right!
   
 9. 22nd

  22nd JF-Expert Member

  #9
  Jul 24, 2011
  Joined: Aug 1, 2010
  Messages: 498
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Blacks wa Marekani wakiitwa nigger na Mzungu lazima pachimbike, ila wenyewe kuitana nigger ni poa tu.
   
 10. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #10
  Jul 24, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Rudi tu kwa mkeo!!!
   
 11. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #11
  Jul 24, 2011
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  wende hawa wakaka zetu hawa bana.....dah
  Nway mwenyewe ashasema kuwa ni maisha yake na maisha ni kuchangua sijui !!
   
 12. Jestina

  Jestina JF-Expert Member

  #12
  Jul 24, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,806
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  sina la kukushauri zaidi ya kukuambia utumie condom,refer asprin's topic kama unacheat,cheat rensponsibly!
   
 13. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #13
  Jul 24, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Kama we unamcheat mkeo kwanini kinakuuma wewe kucheatiwa na unayecheat nae?!

  Kama ambavyo wewe sio mtulivu ndivyo nae asivyo mtulivu.
   
 14. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #14
  Jul 24, 2011
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,541
  Likes Received: 2,239
  Trophy Points: 280
  Najua yote mliyosema ila ndo msaada niliouomba kwenu mbona nyinyi ndo mumekuwa selfsh zaidi kuliko nyinyi mnavyosema mimi selfsh!
   
 15. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #15
  Jul 24, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Sasa unataka sisi tukusaidieje?!Umeshajua yeye ana tabia kama yako tu kwahiyo mkubali kama alivyo(kama alivyokukubali wewe) muendelee.
   
 16. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #16
  Jul 24, 2011
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,541
  Likes Received: 2,239
  Trophy Points: 280
  Sasahivi hataki ila mimi ndo nataka!ila nikibananisha kuliko tulia mashine naendesha ila kuwanaye huru hataki anasema anafuta wake mwenyewe!
   
 17. Jomse

  Jomse JF-Expert Member

  #17
  Jul 24, 2011
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 275
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mwache binti wa watu nae aje kuwa na familia yake,kuendelea kuwa nae ni kujitafutia maumivu tu.Kwa sasa mtajidanganya eti mnapendana lakini ujue kuna siku atakutaarifu kwamba amepata mchumba na ameamua kusettle down kwani wewe si wake. Be prepared .
   
 18. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #18
  Jul 24, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Mwache nae awe na mtu wake..
   
 19. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #19
  Jul 25, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,102
  Likes Received: 22,141
  Trophy Points: 280
  Hivi unaomba tukupe nasaha za kuzini!

  Tafadhali sana rudi kwa mkeo wa ndoa achana na matamanio ya kidunia hayakusaidii kitu.
   
 20. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #20
  Jul 25, 2011
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,866
  Likes Received: 6,218
  Trophy Points: 280
  si una mke wewe? Hebu mwache mtoto wa watu apata wa kwake mwenyewe
   
Loading...