Mosses Mashili
Member
- Jun 21, 2013
- 47
- 29
Habari wana Jf,
Mwaka 2007 nikiwa kidato cha pili shule ya sekondari umbwe nilipata mpenzi toka shule jirani inaitwa somsom, hakika nilimpenda sana huyo dada, lakini penzi letu liliingia doa baada ya huyo mdada kupata mimba march 2008, ilibidi nitumie kila njia ku make sure that issue haifiki xul pamoja na maskani kwao ili kunusuru elimu yangu na nilitumia kila mbinu kumfanya huyo mdada aamini kuwa mm ndo tumain pekee katika maisha yake ili aweze kunidefend nyumbani kwao nisijulikane kabsaa. Namshkuru mungu our mission was successful na tuliendelea kuwa pamoja mpaka alipojifungua mtoto, na mm niliendelea kutoa msaada wa kifedha kadri ya uwezo wangu ili kuweka mazngra safi na trust kwa mama nanii..
Baada ya kuhitimu kidato cha nne, kwa kuwa ckuwa na hela za kuweza kusafiri naye kwenda home, ilibidii nimuombe anivumilie niende dar kutafuta life ili nipate hela ya kusafiri kwenda home kwetu Geita. Mpenz wangu alikataa kumuacha coz aliamin akiniiacha niende ndo byebye, lakin illi kufanya aamin kuwa i was serious, ilibidi nimpe livin certificate yangu ka dhamana ya kuwa nitarudi kumchukua na hapo ndo mama nanii akakubali..
Baada ya miezi mi tatu niliweza kupata hela ya kutosha mara baada ya kuajiriwa na boss fulani mwananyamala, ilibidii niwape taarifa wazaz pamoja na historia nzma kati yangu na mpenz wangu, nashukuru wazaz walinielewa na wakakubali niende naye nyumban.. Hivyo nilipita moshi kumchukua mama nanii na tukaenda mpaka home, hakika alifurahi sana sana... Jambo la ajabu ambalo yy alilifanya mara baada ya mm kumuachia certificate na kwenda dar, alidanganyika na kunisaliti hatimaye akatiwa mimba nyingne na mchiz wa mtaani kwao, hvo kipindi namchukua mimba ilikuwa haionekan coz ili kuwa na miez michache ila yy akaamua kunificha. Baada ya matokeo kutoka na bahati nzuri nkawa nmefaulu kuendlea na masomo ya A-level azania dar ndo akaniambia kuwa ana mimba nyingne, nkamuuliza ya nan akasema ni ya kwangu, na mm ckuwa na la kusema coz mtu anasema kuwa ya kwangu na mm ndo mme ilibidi nikubali tuu, lakin ilibidi nimuulize kuwa hiyo mimba ina mda gan? Akajibu miez mitatu na wakat amekaa home miez miwili tuu na tangia nitoke moshi up to dar ckufanya nae tendo la ndoa.... Hapo niliweka..?
Kitu kingine ambacho kilinifanya nishitukeni kwamba alijifungua mwez wa saba wakti ana miezi sitta tuu tangia amefka kijijini kwetu.. Hivyo it meanz alipata mimba hyo mwez mmoja mara baada ya mm kwenda dar.. Hakika nilipata mawazo sana na kipind hicho ndo niko kidato cha tano.. Mara baada ya kufunga shule mwez wa nane, nlienda home na niliishi naye vizuri bila kuonesha hali yoyte ya chuki juu yake japo majibu yote nilikuwa nayo kuwa hapa nimeibiwa.. Cku moja usiku ilibidi aniamshe na kunipa story ya kweli kuhusu hyo mimba huku akiwa analia sana, ilibidii busara zaid itumike kumuweka sawa usiku ule na nilimuahidi kuwa qcjali na huyo mtoto nitamjali as mine na iwe siri yangu na yy...
Lakin baada ya mwez mmoja kupita aliniomba ruhusa ya kwenda home kwao kuchukua baadhi ya vitu pamoja na baraka za wazaz wake, na mm nilimtafutia nauli na kumruhusu aende, baada ya kuwa ameomba ruhusa nikaona ndo opportunity ya kuachana naye coz anaenda na mtoto wake na ananiachia wangu.
Hivyo baada ya kufika hme kwao ilibidi nmwambie ukweli kuwa sitakuwa tayari kuishi naye mpaka pale niitakapomaliza masomo yangu, lakin yy hakuridhika na alikuwa ananisumbua sana kwenye cmu mpaka nikaamua kuchange line, Baada ya mwez mmoja nilipata taarifa kuwa ameolewa na aliyempiga mimba but yule jamaa alikuwa na mke mwingne hvyo one month later jamaa aliamua kumpangishia nyumba maeneo ya Boma-hai na kuishi naye hatimaye akamtelekeza mara baada ya kushindwa kulipa rent, mpka leo dada huyo yupo mtaani na maisha yamepiga sana na ananipigia simu daily akitaka turudiane....
NAOMBENI USHAURI WENU GT........