Wana jf mwenzenu nina swali

Wana jf mwenzenu nina swali

TWIME

Member
Joined
Apr 27, 2013
Posts
59
Reaction score
6
Nawasalimu kwa umoja wana JF
Kiukweli mm mwenzenu ni mgeni kwa hii jamii ila nimekua nikiona watu wanafaidika na kuelimishwa kupitia hili jamvi lenye upendo lenye mchanganyiko wa mawazo tofauti hivyo nikavutiwa kujiunga ili na mimi niweze kua na uhuru wa kutoa mawazo yangu pia kuuliza maswali yale ambayo nahisi yananichanganya. leo ninaanza na kutaka kujua kama vyombo vya usafiri wa aga kama vile NDEGE, HERICOPTA navyombo vingine kama hivyo vitumiavyo anga je vina honi kama za gari au pikipiki au baiskeli nk? je zina bleack kwamba hata zikikutana na kitu cha ajabu huko juu zinaweza zikaminywa bleack ili kipite nk au zikiwa kwenye running way je zinaweza kuminywa bleack na ikasimama ?? najua wengi mtaniaidia kunifafanunulia na kama ujuh usitpie majibu ya kunikwaza
 
kwanza kabisa karibu JF. Pili nadhanni hili sio jukwaa husika
tatu sidhani kama vyombo vya usafiri vya angani vina "break" kama za gari.
kuna honi ila inatumika on the gorund, na vinaweza "kusimama" angaani
Kwa mambo zaidi kuhusu helikopta na ndege namwita mtaalam wangu Kambaku
 
Last edited by a moderator:
Karibu TWIME hakika utafaidika na jf kama ukitaka kufaidika, ila jukwaa uliloingia na maswali yako mmh, sijui kama kuna mwenye majibu yake, na hata kama atakuwa nayo sina hakika kama atakujibia huku kwenye jukwaa la mmu.

Any way karibu
 
Last edited by a moderator:
shukran kwa sana kwa wote mlio thubutu kunijibu na mlio nikaribisha kwa moyo wa upendo. na pia mumenisaidia sana kujua wapi ni wapi na ni swali gani litupiwe wapi wapi kwan kila siku tunajifunza kitu kipya na usipokubali kujifunza basi ..... ninayo mengi tutazidi kushilikiana nawapenda wote bye
 
TWIME, sisi wanaJF tungependa kukufahamu zaidi kama hutojali...!
 
Last edited by a moderator:
haki ya naniiii
ha ha haaaaa
wapi Pdidy atuambie kama ndege zina "bleack" khaaa,

dogo haukupita hata kwenye ule mtihani mliofanyiwa na serkali?
 
Last edited by a moderator:
Huenda ni kidato cha 4 huyu!elimu yetu imeporomoka sana!
 
TWIME karibu sana Jamvini. Wewe ni KE au ME.

Niwie radhi kama nitakua nimekukwaza kwa hili swali!
 
Last edited by a moderator:
Nawasalimu kwa umoja wana JF
Kiukweli mm mwenzenu ni mgeni kwa hii jamii ila nimekua nikiona watu wanafaidika na kuelimishwa kupitia hili jamvi lenye upendo lenye mchanganyiko wa mawazo tofauti hivyo nikavutiwa kujiunga ili na mimi niweze kua na uhuru wa kutoa mawazo yangu pia kuuliza maswali yale ambayo nahisi yananichanganya. leo ninaanza na kutaka kujua kama vyombo vya usafiri wa aga kama vile NDEGE, HERICOPTA navyombo vingine kama hivyo vitumiavyo anga je vina honi kama za gari au pikipiki au baiskeli nk? je zina bleack kwamba hata zikikutana na kitu cha ajabu huko juu zinaweza zikaminywa bleack ili kipite nk au zikiwa kwenye running way je zinaweza kuminywa bleack na ikasimama ?? najua wengi mtaniaidia kunifafanunulia na kama ujuh usitpie majibu ya kunikwaza

Kuwa uyaone
 
Kiukweli elimu yangu mh!! !ni mungu anajua, kwa kifupi sikubahatika kusoma hata chekechea na pia rafidhi ni tatizo kubwa kwangu wan nipo huku mpakan nimezungukwa na majiran zangu tunawasiliana kwa ... Hivyo bs mm niwatakie jamvi jema wacha nikaendelee na ratiba zangu za kulima matango maana hizi changamoto ni nyingi sana na zinaitaji muda wa ziada kukabiliana nazo kwa wale waliotaka kunijua mm me au ke mm ni ajuza wa kike wa kutosha kabisa
 
Back
Top Bottom