H hesalieyo JF-Expert Member Joined Jul 18, 2012 Posts 378 Reaction score 416 Jun 24, 2013 #1 kama kuna mjasiriamali anauza mafuta ya ubuyu original (yasiyochakachuliwa), anayeishi Mwanza tuwasiliane please.
kama kuna mjasiriamali anauza mafuta ya ubuyu original (yasiyochakachuliwa), anayeishi Mwanza tuwasiliane please.
H hesalieyo JF-Expert Member Joined Jul 18, 2012 Posts 378 Reaction score 416 Jun 24, 2013 Thread starter #2 kama kuna mjasiliamali anayeishi mwanza,anauza mafuta ya,ubuyu original(yasiyochakachuliwa)please tuwasiliane.
kama kuna mjasiliamali anayeishi mwanza,anauza mafuta ya,ubuyu original(yasiyochakachuliwa)please tuwasiliane.
FLAVOR Senior Member Joined Jun 13, 2012 Posts 138 Reaction score 49 Jun 24, 2013 #3 Niko Dar ninasupply ya mafuta. Hayajachakachuliwa na ni mmoja wapo wa watumiaji. Naweza hata kutuma kasample ucheki. Kama vipi nicheki 0779000710
Niko Dar ninasupply ya mafuta. Hayajachakachuliwa na ni mmoja wapo wa watumiaji. Naweza hata kutuma kasample ucheki. Kama vipi nicheki 0779000710
Wizzo JF-Expert Member Joined Nov 28, 2010 Posts 723 Reaction score 256 Jun 24, 2013 #4 nko dodoma ncheki k2 og cm 0715936398
H hesalieyo JF-Expert Member Joined Jul 18, 2012 Posts 378 Reaction score 416 Jun 25, 2013 Thread starter #5 naona uku mmekaa kimahusiano zaidi.
Tutor B JF-Expert Member Joined Jun 11, 2011 Posts 9,025 Reaction score 6,615 Jun 25, 2013 #6 we uko wapi? ninayo kwa kuwa niko na Anamed International kwa karibu sana.
B bukirogo Member Joined Apr 2, 2012 Posts 5 Reaction score 1 Jun 25, 2013 #7 hesalieyo said: kama kuna mjasiriamali anauza mafuta,ya ubuyu original(yasiyochakachuliwa), anayeishi Mwanza tuwasiliane please. Click to expand... ninayo kama na ninafanya biashara hiyo. naomba tuwasiliane kwa namba 0763607685. niko mwanza.
hesalieyo said: kama kuna mjasiriamali anauza mafuta,ya ubuyu original(yasiyochakachuliwa), anayeishi Mwanza tuwasiliane please. Click to expand... ninayo kama na ninafanya biashara hiyo. naomba tuwasiliane kwa namba 0763607685. niko mwanza.
B bukirogo Member Joined Apr 2, 2012 Posts 5 Reaction score 1 Jun 25, 2013 #8 ninayo kama na ninafanya biashara hiyo. naomba tuwasiliane kwa namba 0763607685. niko mwanza.
B Baobab Products Member Joined Jun 20, 2013 Posts 13 Reaction score 1 Jun 28, 2013 #9 Weka namba zako za simu, mi nina wakala mwanza mafuta yatakufikia chap chap, na hata ukiihitaji unga wake ambao ni laini usio na mchanga kwa juice unapatikana. piga namba hii. 0712700280
Weka namba zako za simu, mi nina wakala mwanza mafuta yatakufikia chap chap, na hata ukiihitaji unga wake ambao ni laini usio na mchanga kwa juice unapatikana. piga namba hii. 0712700280