stephanohonyo Member Joined Jul 29, 2015 Posts 34 Reaction score 21 Apr 30, 2017 #1 Kichwa cha habari chajieleza hapo juu, naomba kwa mwana JF ambaye anauza fitness equipment used anichek tafadhar
Kichwa cha habari chajieleza hapo juu, naomba kwa mwana JF ambaye anauza fitness equipment used anichek tafadhar
RRONDO Platinum Member Joined Jan 3, 2010 Posts 57,872 Reaction score 129,871 Apr 30, 2017 #2 Nauza treadmill(mashine ya kukimbilia) used kidogo sana tzs 1.3m
stephanohonyo Member Joined Jul 29, 2015 Posts 34 Reaction score 21 Apr 30, 2017 Thread starter #3 Ina uwezo wa kubeba uzito gan mkuu
Babu Kijiwe JF-Expert Member Joined Mar 31, 2010 Posts 4,845 Reaction score 4,775 Apr 30, 2017 #4 Wenzako wanajenga taifa wewe unajenga mwili, kweli vipaumbele havifanani
stephanohonyo Member Joined Jul 29, 2015 Posts 34 Reaction score 21 Apr 30, 2017 Thread starter #5 Mkuu huwezi jenga taifa ka hauko physical fit, ila pia najenga taifa sababu nataka fungua fitness centre
Mkuu huwezi jenga taifa ka hauko physical fit, ila pia najenga taifa sababu nataka fungua fitness centre
RRONDO Platinum Member Joined Jan 3, 2010 Posts 57,872 Reaction score 129,871 Apr 30, 2017 #6 Sijuti said: Wenzako wanajenga taifa wewe unajenga mwili, kweli vipaumbele havifanani Click to expand... Usikariri. Unaweza kununua hivyo vifaa, ukafungua gym ukapata hela na kulipa kodi. Je hapo hujengi taifa? Au kuwasaidia watu kuwa na afya njema na kuzalisha zaidi kuliko wakiwa na afya dhaifu. Hapo hujengi taifa?
Sijuti said: Wenzako wanajenga taifa wewe unajenga mwili, kweli vipaumbele havifanani Click to expand... Usikariri. Unaweza kununua hivyo vifaa, ukafungua gym ukapata hela na kulipa kodi. Je hapo hujengi taifa? Au kuwasaidia watu kuwa na afya njema na kuzalisha zaidi kuliko wakiwa na afya dhaifu. Hapo hujengi taifa?
Babu Kijiwe JF-Expert Member Joined Mar 31, 2010 Posts 4,845 Reaction score 4,775 Apr 30, 2017 #7 RRONDO said: Usikariri. Unaweza kununua hivyo vifaa, ukafungua gym ukapata hela na kulipa kodi. Je hapo hujengi taifa? Au kuwasaidia watu kuwa na afya njema na kuzalisha zaidi kuliko wakiwa na afya dhaifu. Hapo hujengi taifa? Click to expand... Kibongobongo gym zinatumika ndivyo sivyo mkuu na nyingi hazina wataalamu wa afya zinaongeza uwezo wa kula tuu kwa watumiaji
RRONDO said: Usikariri. Unaweza kununua hivyo vifaa, ukafungua gym ukapata hela na kulipa kodi. Je hapo hujengi taifa? Au kuwasaidia watu kuwa na afya njema na kuzalisha zaidi kuliko wakiwa na afya dhaifu. Hapo hujengi taifa? Click to expand... Kibongobongo gym zinatumika ndivyo sivyo mkuu na nyingi hazina wataalamu wa afya zinaongeza uwezo wa kula tuu kwa watumiaji
hatym JF-Expert Member Joined Dec 29, 2013 Posts 513 Reaction score 179 May 1, 2017 #8 Tufollow instagram, @vifaa_vya_mazoezi utapata vifaa vipya kwa gharama nafuu
stephanohonyo Member Joined Jul 29, 2015 Posts 34 Reaction score 21 May 1, 2017 Thread starter #9 Asante mkuu
stephanohonyo Member Joined Jul 29, 2015 Posts 34 Reaction score 21 May 1, 2017 Thread starter #10 hatym said: Tufollow instagram, @vifaa_vya_mazoezi utapata vifaa vipya kwa gharama nafuu Click to expand... Asante mkuu
hatym said: Tufollow instagram, @vifaa_vya_mazoezi utapata vifaa vipya kwa gharama nafuu Click to expand... Asante mkuu