Wana JF, mnajua maana ya neno 'lol'?

Wana JF, mnajua maana ya neno 'lol'?

mnajua sisi wengine humu ndani wadutch. Lol kwa kidutch means fun.
Kuna lugha fulani lol inamaanisha 'nonsense'. Kwahiyo mtoa mada humu watu wanaelewa wanachoongea labda wewe ndio huelewi.
Hili lisredi lako kwanza ni lol!

wal!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!1
 
nashukuru sana mpendwa manake na mimi baadhi ya hayo yalikuwa yananichanganya sana. naomba nisaidie pia maana ya haya

1. BTW
2. "read between the lines"

asante na ubarikiwe sana
 
nashukuru sana mpendwa manake na mimi baadhi ya hayo yalikuwa yananichanganya sana. naomba nisaidie pia maana ya haya

1. BTW
2. "read between the lines"

asante na ubarikiwe sana


BTW= By the way

Read Between the lines maana yake soma kati ya mistari......:] (Soma maana iliyojificha)
 
Brb: be right back.
Omg: oh my god.
Fubu: for us by us.
T.c: take care.
 
Ha ha ha MYOB. Nimeipenda hii. Mind your own bussiness.
 
Mnajua sisi wengine humu ndani wadutch. Lol kwa kidutch means fun. <br />
Kuna lugha fulani lol inamaanisha 'nonsense'. Kwahiyo mtoa mada humu watu wanaelewa wanachoongea labda wewe ndio huelewi.<br />
Hili lisredi lako kwanza ni lol!
<br />
<br />



Just learn to appreciate when u learn something new from a friend n stop fabricating some flimsy explanation just to downgrade the lesson given!!
It is quite obvious that many people have been abusing these acronyms especially semantically!!

No offence,No Hard Feelings!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom