Elections 2010 Wana JF Jiaandaeni Kuchukua Majimbo 2015

Kumbe unatambua hoja ya kutochukua posho ina nguvu na inatoka kwa Wabunge wa chama makini !
 
thread hii imenikumbusha enzi za utoto na tabia ya kugawana magari yakipita barabarani...kuna nyakati ngumi ziliwaka kisa mnagombania gari lililopita.
 
Mimi nataka jimbo la Mufindi kusini maana wananchi ni kama hawana mwakilishi kabisa ila wana jini linalowawakilisha mjengoni!!
Mniunge mkono!

Wana jf tuendelee kugawana majimbo tafadhari!!!!

jamani natamani nikachukue jimbo la mtwara mjini analotawala yule muhindi!!!!!!!!!
 
[B said:
thread hii imenikumbusha enzi za utoto na tabia ya kugawana magari yakipita barabarani...kuna nyakati ngumi ziliwaka kisa mnagombania gari lililopita.

Sagara, it seems ujiamini mpaka unakumbuka enzi za utoto wako, na nafikiri utakuwa umekuwa mwili tu akili yako bado ya kitoto, lipi haliwezekani na lipi linawezekana katika maisha yako ? hayo ni mawazo yako dhaifu that is Myopic Thinking, wache watu wenye mitazamo na uchungu na nchi hii, hapo kwenye Avatar yako andika tu I LOVE CCM maana ni mtumwa wa mawazo[/B]
 
kuandika kwamba mie nitakwenda kugombea kwetu urambo ndio kutanifanya kuwa mmoja wa wenye mawazo bora? ndio kutanifanya nionekane nimekua? hebu nioneshe uchungu ulionao na nchi hii kupitia kutaja jimbo utalogombea.
 
hii nzuri tutakutana mjengini 2015, mi narudi home (location)
 
Kwa udhaifu wanaouonyesha wabunge wa chama cha magamba hakika, wasitarajie kurudi tena mjengoni, nalileta hili kwa wale wote wanaopenda kuwawakilisha wapiga kura majimboni mwao wanakotoka, tiketi ipo wazi kama utagombea kupitia chama makini. Nafikiri hapo wanajamvi mnanipata kuwa chama makini ni CDM pekee .Mimi nalitamani jimbo la Kyela maana mbunge aliyekuwa anaaminika kama mbunge machachari , mchapa kazi mh. Mwakyembe kwisha habari yake, unajua siku hizi simuelewielewi anachofanya ! ni kama yupo hayupo vile !
nipo pia Kyela nadhani mpambano utakuwa mkali, Mwakyembe siyo mbunge, kashapata alichokuwa akikitafuta>ulaji
 
Sijui kama ulipitia Thread yangu ya juzi Ndugu yangu Sangara, serikali yako unayoipenda ina deni la takribani Trilion 17 wakati huo huo bajeti ya serikali ni takribani trilion 13.5, na bajeti hiyo haiwezi kujitosheleza kwa recurrent Expenditures, ukiwaangalia wabunge wenu mle bungene hawawezi hata kusituka kujua nchi inaelekea pabaya, ni kuunga hoja tu bajeti ni nzuri sana,

Ukiuangalia Mpango wa taifa wa maendeleo wa miaka mitano ni kama kokoro lialobeba kila kitu, Mpango ambao kwa mtu yoyote makini hawezi kushawishika kuwa ni mpango wa kuwaletea watanzania maendeleo, hapo haitajiki elimu ya secondari hata shule ya msingi inatosha kujua kuwa serikali inacheza tu haina nia dhabiti ya kuwaletea wanainchi maendeleo ya kweli

Miaka 50 tangu uhuru accessibibility ya umeme vijijini imefikia asilimia 2 tu na mijini ni wastani wa asilimia 14 maji mjini hata vijijini ni kero, leo hii unaambiwa ifikapo 2015/2016 mjini itakuwa ni asilimia 65

Wabunge wenu kila anayeinuka ninaunga mkono mpango huu, endelea kujiuliza mwaka 2008 deni la taifa lilikuwa takribani trilion 7.6, mwaka 2009 likapanda trilion 10.5 na sasa trillion 17, . kuwa na deni sio kitu kibaya sana lakini cha kujiuliza hapo ni kwa nini kama hata serikali inaendelea kukopa wananchi wake na nchi kw aujumla haiendelei, you can refer the trend of several barrometric indicators kwa nchi yako na utapata majibu kama inchi uchumi unakuwa au haukui, tuache ushabiki wa vyama vyetu turudi tutafakari kwa ajili ya kizazi tulichonacho na hasa kwa kile kijacho, Nchi hii ni yetu sisi sote !

Ntarudi tena baadaye ukinihtaji
 
Mimi sina neno na mtu yoyote wa Kyela , niko tayari kuacha kugombea ili mradi tu ana nia njema na ni mzalendo tukaungana kumung'oa Mwakyembe, anatutia aibu sio mpambanaji tena, mara CCJ huyo tena CCM tutasikia kesho chama kingine tena
 
Sijui kama ulipitia Thread yangu ya juzi Ndugu yangu Sangara, serikali yako unayoipenda ina deni la takribani Trilion 17 wakati huo huo bajeti ya serikali ni takribani trilion 13.5, na bajeti hiyo haiwezi kujitosheleza kwa recurrent Expenditures, ukiwaangalia wabunge wenu mle bungene hawawezi hata kusituka kujua nchi inaelekea pabaya, ni kuunga hoja tu bajeti ni nzuri sana,

Ukiuangalia Mpango wa taifa wa maendeleo wa miaka mitano ni kama kokoro lialobeba kila kitu, Mpango ambao kwa mtu yoyote makini hawezi kushawishika kuwa ni mpango wa kuwaletea watanzania maendeleo, hapo haitajiki elimu ya secondari hata shule ya msingi inatosha kujua kuwa serikali inacheza tu haina nia dhabiti ya kuwaletea wanainchi maendeleo ya kweli

Miaka 50 tangu uhuru accessibibility ya umeme vijijini imefikia asilimia 2 tu na mijini ni wastani wa asilimia 14 maji mjini hata vijijini ni kero, leo hii unaambiwa ifikapo 2015/2016 mjini itakuwa ni asilimia 65

Wabunge wenu kila anayeinuka ninaunga mkono mpango huu, endelea kujiuliza mwaka 2008 deni la taifa lilikuwa takribani trilion 7.6, mwaka 2009 likapanda trilion 10.5 na sasa trillion 17, . kuwa na deni sio kitu kibaya sana lakini cha kujiuliza hapo ni kwa nini kama hata serikali inaendelea kukopa wananchi wake na nchi kw aujumla haiendelei, you can refer the trend of several barrometric indicators kwa nchi yako na utapata majibu kama inchi uchumi unakuwa au haukui, tuache ushabiki wa vyama vyetu turudi tutafakari kwa ajili ya kizazi tulichonacho na hasa kwa kile kijacho, Nchi hii ni yetu sisi sote !

Ntarudi tena baadaye ukinihtaji

unaanza kutangatanga mkuu..wewe umenishutumu kwamba sina uchungu na nchi hii na wewe umeonesha uzalendo wako kwa kuleta thread kwamba 2015 utaenda kuchukua jimbo kyela.
anyway,hongera sana na umetuthibishia ugreat thinker wako.
 
hapana Bwana Sangara sio kushutumu, ifike wakati sasa tuseme basi na kutokujali na uzembe na kukosa uzalendo kunakoendelea katika na Mwakyembe hapo awali alipendwa sana na watanzania ndani ya jimbo lake na hata nje ya jimbo lake, mimi mwenyewe ungeniuliza mwaka jana japo ni CDM ningekuambia Mwakyembe anafaa sana na nilifanya hivyo, mpaka ilifikia watu wakawa wananitania kwa kuniita Mwakyembe kwenye eneo ninalofanyia kazi.

Kwa hali ilipofikia hawa wabunge wetu hasa wale wa CCM tukiwaendekeza bila kuwang'oa ni sawa na kucheza na Nyani mwisho tutavuna mabua!
 
The Priest kuna kadi aina ngapi za uanachama, hivi inatakiwa uwe zazo zaidi ya moja, mimi najua ni moja au ?
 
Back
Top Bottom