jaffari yogo
JF-Expert Member
- Apr 3, 2014
- 685
- 148
Jamani Wana Jf huku kuna upepo mkali sana na vumbi kinomaa. Jua nalo linawaka kama vile kipindi cha kiangazi. Je, kwako huko pakoje?
Uko wapi???
^^
Mamlaka ya Utabiri wa Hali ya Hewa
Kwa hisani ya Chanel ten
^^