Dabil
JF-Expert Member
- Sep 30, 2021
- 5,885
- 13,263
Viongozi wa Yanga wameona hapo ndo mwisho kimataifa wameona kundi ngumu hawavuki wameaamua kuwapoteza mashabiki maboya kuendelea kusherekea ushindi wa kumpiga mtani goli 5.
Lengo lao ni kuwatoa mashabiki kwenye reli kuhusu mashindano ya kimataifa yanayoendelea na kutuliza maswali ili watu wasiwaze mechi za kimataifa na kuendelea kujadili ushindi wa goli 5.
Ni ajabu sana timu haiwazi mechi za mbele yake na kupoteza goli 3 lakini bado wanaendelea kusherekea ushindi wa mechi ya mwezi mzima uliopita.
Sent using Jamii Forums mobile app