Wana Jangwani kimataifa hapa ndiyo mwisho kubalini

Dabil

JF-Expert Member
Sep 30, 2021
5,885
13,263
Viongozi wa Yanga wameona hapo ndo mwisho kimataifa wameona kundi ngumu hawavuki wameaamua kuwapoteza mashabiki maboya kuendelea kusherekea ushindi wa kumpiga mtani goli 5.

Lengo lao ni kuwatoa mashabiki kwenye reli kuhusu mashindano ya kimataifa yanayoendelea na kutuliza maswali ili watu wasiwaze mechi za kimataifa na kuendelea kujadili ushindi wa goli 5.

Ni ajabu sana timu haiwazi mechi za mbele yake na kupoteza goli 3 lakini bado wanaendelea kusherekea ushindi wa mechi ya mwezi mzima uliopita.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukubwa wa Club unapimwa kupitia malengo ambayo wamejiwekea kuyafikia.

Malengo ya Gongowazi waliojiwekea baada ya kusajili wachezaji kwa gharama kubwa na kuwalipa mishahara mikubwa.

Malengo yao ni kufika hatua ya makundi Club Bingwa.

Hayo ndio malengo ya Club ambayo kwa msimu mzima walikuwa wana fight ili kufika hatua hiyo.

Kwa maana hiyo, kwao hiyo ndio hatua kubwa sana ambayo wameona inaendana na thamani ya uwekezaji walioufanya.

Na mashabiki nao ni kama wameridhika na malengo ya Club yao kwasababu ni kitu ambacho hawajaki experience kwa muda mrefu.
 
Viongozi wa Yanga wameona hapo ndo mwisho kimataifa wameona kundi ngumu hawavuki wameaamua kuwapoteza mashabiki maboya kuendelea kusherekea ushindi wa kumpiga mtani goli 5...
Mpira ni burudani na Furaha
Usiwapangie watu jinsi ya kufurahia na kusherekea

Hata wewe unaruhusiwa kufurahia mpira butua butua au papatu papatu

Goli tano ni nyingi sana kama unaona ni kidogo Jaribu kuvaa suruali tano kwa pamoja

Wanaandaa Sanamu kubwa ya kuchongwa ya kukanda magoli 5 itawekwa mataa ya Moroco,Mwenge,Ubungo na Magomeni
 
Tulipowafunga 6-0, 5-0 na 4-1 hatujawahi kufanya hayo mambo,ingawa bado hamjazirudisha maana hata hiyo 5 ni 5-1

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Viongozi wa Yanga wameona hapo ndo mwisho kimataifa wameona kundi ngumu hawavuki wameaamua kuwapoteza mashabiki maboya kuendelea kusherekea ushindi wa kumpiga mtani goli 5...
Ni lini makolo mmeanza kuwa na uchungu na yanga? ni nyie tu ndio mnapiga kelele maana mshajua uwanjani hamtuwezi tumewapiga 5 juzi juzi sasa mnataka ku-justify ukubwa wenu kwetu kwa kutupa presha ya kufika mlipofika nyie miaka ya nyumba na yanga kufungwa kule Algeria naona mmepata sehemu ya kupumulia wakati wenye timu yetu tumerelax.

Kwa msimu huu mashabiki wa yanga hatuna matarajio makubwa. Tunajua haya mashindano hatujashiriki kwa muda mrefu sio rahisi kurudi tu na kufanya vizuri hasa ukizingatia tumepangwa na timu za waarabu ambao tunajua rekodi zao kwenye haya mashindano.

We trust the process, just one step at the time tutafika tunapotaka kwenda kwaiyo hata tukiishia group stage ni sawa tunajua uongozi na benchi la ufundi kuna kitu watajifunza na tutarudi tukiwa imara zaidi. Tuache tusherekee ushindi wa goli 5.
 
Viongozi wa Yanga wameona hapo ndo mwisho kimataifa wameona kundi ngumu hawavuki wameaamua kuwapoteza mashabiki maboya kuendelea kusherekea ushindi wa kumpiga mtani goli 5.

Lengo lao ni kuwatoa mashabiki kwenye reli kuhusu mashindano ya kimataifa yanayoendelea na kutuliza maswali ili watu wasiwaze mechi za kimataifa na kuendelea kujadili ushindi wa goli 5.

Ni ajabu sana timu haiwazi mechi za mbele yake na kupoteza goli 3 lakini bado wanaendelea kusherekea ushindi wa mechi ya mwezi mzima uliopita.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mechi na Wydad kingilio kitakuwa MoXtra au kipande cha Sabuni ya MO baada ya hapo unaenda Morocco. Ukirudi Azam ana kusubiria.
 
Simba club kubwa hawaamini kama wamemfunga masikini yanga.Ila wao waanaamini wakimfunga Simba basi club yao umeshakuwa kubwa,kumbuka baada ya kumfunga Simba wamesema ni bora Afrika kuliko mamelod sundown na Alhy Ally..mpaka engineer wao akaenda kumuambia rais wa FIFA, wanafanya hivyo kwasababu Simba ndio mfalme na club bora Afrika mashariki na kati.
 
Ukubwa wa Club unapimwa kupitia malengo ambayo wamejiwekea kuyafikia.

Malengo ya Gongowazi waliojiwekea baada ya kusajili wachezaji kwa gharama kubwa na kuwalipa mishahara mikubwa.

Malengo yao ni kufika hatua ya makundi Club Bingwa.

Hayo ndio malengo ya Club ambayo kwa msimu mzima walikuwa wana fight ili kufika hatua hiyo.

Kwa maana hiyo, kwao hiyo ndio hatua kubwa sana ambayo wameona inaendana na thamani ya uwekezaji walioufanya.

Na mashabiki nao ni kama wameridhika na malengo ya Club yao kwasababu ni kitu ambacho hawajaki experience kwa muda mrefu.
JamiiForums-672775829.jpg
 
Viongozi wa Yanga wameona hapo ndo mwisho kimataifa wameona kundi ngumu hawavuki wameaamua kuwapoteza mashabiki maboya kuendelea kusherekea ushindi wa kumpiga mtani goli 5.

Lengo lao ni kuwatoa mashabiki kwenye reli kuhusu mashindano ya kimataifa yanayoendelea na kutuliza maswali ili watu wasiwaze mechi za kimataifa na kuendelea kujadili ushindi wa goli 5.

Ni ajabu sana timu haiwazi mechi za mbele yake na kupoteza goli 3 lakini bado wanaendelea kusherekea ushindi wa mechi ya mwezi mzima uliopita.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ni Simba, halafu unainyooshea kidole 👉 Yanga!! Angalia mwenyewe vidole vingapi vimekugeukia!!

Imagine unatoa sare na Asec Mimosa kwenye uwanja wako wa nyumbani! Je, utaweza kweli kutoboa kwa Wydad Casablanca na Jwaneng Galaxy!! Kweli?
 
Viongozi wa Yanga wameona hapo ndo mwisho kimataifa wameona kundi ngumu hawavuki wameaamua kuwapoteza mashabiki maboya kuendelea kusherekea ushindi wa kumpiga mtani goli 5.

Lengo lao ni kuwatoa mashabiki kwenye reli kuhusu mashindano ya kimataifa yanayoendelea na kutuliza maswali ili watu wasiwaze mechi za kimataifa na kuendelea kujadili ushindi wa goli 5.

Ni ajabu sana timu haiwazi mechi za mbele yake na kupoteza goli 3 lakini bado wanaendelea kusherekea ushindi wa mechi ya mwezi mzima uliopita.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ushauri wako ungekuwa Bora Kama ungeupeleka kwenye timu yako inayokaribia kukata roho, unashupalia ya jirani wakati nyumbani kwako ni uvundo mtupu!
Na tokea lini ukampangia mtu Cha kufanya? Pambaneni na litimu Lenu acheni ujinga nyie!
 
Ukubwa wa Club unapimwa kupitia malengo ambayo wamejiwekea kuyafikia.

Malengo ya Gongowazi waliojiwekea baada ya kusajili wachezaji kwa gharama kubwa na kuwalipa mishahara mikubwa.

Malengo yao ni kufika hatua ya makundi Club Bingwa.

Hayo ndio malengo ya Club ambayo kwa msimu mzima walikuwa wana fight ili kufika hatua hiyo.

Kwa maana hiyo, kwao hiyo ndio hatua kubwa sana ambayo wameona inaendana na thamani ya uwekezaji walioufanya.

Na mashabiki nao ni kama wameridhika na malengo ya Club yao kwasababu ni kitu ambacho hawajaki experience kwa muda mrefu.
kipigo kile kimewabadilisha kabisaa na hapo bado
 
Back
Top Bottom