Wana jamii mwenye uwezo anisaidie,nimuuzie kiwanja kipo Chanika/Dar es Salaam.

Habari wana Jf.

Naomba mwenye uwezo anisadie nimuuzie kiwanja kipo Chanika.

Kiwanja kipo sehemu nzuri na huduma kama barabara na umeme zinapatikana.

Mimi kwa sasa ni mwanafunzi wa UDSM wiki ijayo natakiwa kulipa ada ya semista ya pili lakini sina kitu kwa wakati huu.

Hali imekuwa ngumu sana,nimejaribu kutangaza hapa kwa muda mrefu lakini sijafanikiwa kupata mteja.

Wateja walionitafuta wanahitaji viwanja vikubwa ila changu sio kikubwa ni cha kujenga nyumba ya kawaida.

Kulingana na eneo kilipo kiwanja nimeshusha bei ili niweze kupata msaada na ili kufanikiwa kwenye malengo yangu.

Mwenye uwezo anisaidie Tsh2,500,000 nimuuzie kiwanja.
Kiwanja kipo jirani na Chanika mwisho(Msumbiji).

Namba yangu ni 0656608136.
Nategemea msaada wenu wana Jf.
Maelezo zaidi nipigie napatikana 24hrs.
Nimekujibu kwenye ule uzi wako mwingine, tuonane jumapili asubuhi nikakione tumalize hyo biashara urudi shule. Asante
 
Achana na huyu mjinga, labda kama unahitaji kulizwa mfuatilie.
Mungu anakuona,sijawahi mtapeli mtu,wala kubadili Id ili niuze kiwanja.

Unaleta post za miaka miwili imepita inamaana maisha hayabadiliki.

Huamini kuwa nasoma kwa sasa,njoo UDSM uthibitishe.
 
Achana na huyu mjinga, labda kama unahitaji kulizwa mfuatilie.
Mjinga mwenyewe,nikupatie Jina langu,namba ya usajili,na akaunti ya chuo ulipie hio pesa ya ada ili uamini kuwa sijauza kiwanja tangu 2015
 
Pale Chanika mwisho(ilipo stendi ya daladala) panaitwa Msumbiji wakazi wa Chanika wanajua.
Asante mkuu....Jina msumbiji tayari lemeleta shida kutokana na watz wenzetu kufukuzwa vibaya. Ni sawa na sehemu ikiitwa magufuli au makonda au mwigulu siwezi kununua au kuishi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom