Wana Jamii Forum naombeni msada wenu namimi pia najua humu kuna wataalamu sana

TULIMAJE

Member
Jun 14, 2017
92
51
Nina Blog yangu pia inaitwa QUALITY OPPORTUNITY NEWS Nashindwa jinsi ya kutengeneza pages (mfano ukiscrow hadi mwisho kuwe na Neno next au previous kabla hujafunguwa post moja wapo mfano 1,2,3,4,5,6,7,8,9,10) Lengo ni kuzipata post za nyuma maana ukiclick load more inazunguka tuu sasa badala ya load more iwe namba.

Nitafanyaje wadau au niingie wapi ili kuipata hiyo sehemu ?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom