The Intelligent
JF-Expert Member
- Dec 27, 2013
- 2,459
- 824
Desk top yangu inanisumbua kwenye interne t system, nikiweka modem inasumbua kwa ku-search mda mrefu, sasa kuna jamaa mmoja anayesomea IT akaniambia kuwa tatizo la internet kwenye computer yangu inachangiwa na kuhifadhi vitu vingi kwenye disk, hivyo naomba nithibitishiwe hili kama kuna ukweli ili nichukue hatua. na je ni nini vinasababisha internet kuwa slow?
Huyo IT wa Nchi gani?
Anywayz point sio kumproove right au wrong huyo IT bali nikukusaidia wewe
Kwa kuanza twambie unatumia modem gani na mtandao gani?
Je upo mkoa gani? Kama ni siri je huo mkoa siri yako kuba 3G au ni EDGE(2g)
Ukitoa hayo majibu hapo juu hautopata tena hiyo snail internet
download network driver tena,, agalia network card yako ni ya aina gani,, kufanya hivyo nenda device manager,, ukishajua basi download drivers mahususi kwa card yako,, baada ya hapo remove the current driver and re install the new driver,,, na kama ikiendelea basi nunua card ,mpya

Desk top yangu inanisumbua kwenye interne t system, nikiweka modem inasumbua kwa ku-search mda mrefu, sasa kuna jamaa mmoja anayesomea IT akaniambia kuwa tatizo la internet kwenye computer yangu inachangiwa na kuhifadhi vitu vingi kwenye disk, hivyo naomba nithibitishiwe hili kama kuna ukweli ili nichukue hatua. na je ni nini vinasababisha internet kuwa slow?The hell did you just advise??
Desk top yangu inanisumbua kwenye interne t system, nikiweka modem inasumbua kwa ku-search mda mrefu, sasa kuna jamaa mmoja anayesomea IT akaniambia kuwa tatizo la internet kwenye computer yangu inachangiwa na kuhifadhi vitu vingi kwenye disk, hivyo naomba nithibitishiwe hili kama kuna ukweli ili nichukue hatua. na je ni nini vinasababisha internet kuwa slow?
kwenye red hapo ndo ulikuwa msingi wa jibu langu kwake,, sometimes drivers na card pia inaweza changia tatizo lake,, kama internet ni 3G so kwa nini iwe shida ya yeye ku connect,, unless kama tatizo hilo ni wateja wote ikiwa ndo hivyo basi ISP atakuwa anadanganya kiwango cha speed cha service yake.. otherwise itakuwa tatizo liko kwenye either modem yake, netcard, au drivers za card husika. otherwise to hell na wewe kama ni matusi
Anasema ana matatizo na internet, wewe unamwambia adownload drivers mpya, atadownload na nini???
Desk top yangu inanisumbua kwenye interne t system, nikiweka modem inasumbua kwa ku-search mda mrefu, sasa kuna jamaa mmoja anayesomea IT akaniambia kuwa tatizo la internet kwenye computer yangu inachangiwa na kuhifadhi vitu vingi kwenye disk, hivyo naomba nithibitishiwe hili kama kuna ukweli ili nichukue hatua. na je ni nini vinasababisha internet kuwa slow?
kwenye red hapo ndo ulikuwa msingi wa jibu langu kwake,, sometimes drivers na card pia inaweza changia tatizo lake,, kama internet ni 3G so kwa nini iwe shida ya yeye ku connect,, unless kama tatizo hilo ni wateja wote ikiwa ndo hivyo basi ISP atakuwa anadanganya kiwango cha speed cha service yake.. otherwise itakuwa tatizo liko kwenye either modem yake, netcard, au drivers za card husika. otherwise to hell na wewe kama ni matusi
download network driver tena,, agalia network card yako ni ya aina gani,, kufanya hivyo nenda device manager,, ukishajua basi download drivers mahususi kwa card yako,, baada ya hapo remove the current driver and re install the new driver,,, na kama ikiendelea basi nunua card ,mpya
Desk top yangu inanisumbua kwenye interne t system, nikiweka modem inasumbua kwa ku-search mda mrefu, sasa kuna jamaa mmoja anayesomea IT akaniambia kuwa tatizo la internet kwenye computer yangu inachangiwa na kuhifadhi vitu vingi kwenye disk, hivyo naomba nithibitishiwe hili kama kuna ukweli ili nichukue hatua. na je ni nini vinasababisha internet kuwa slow?
kwenye red hapo ndo ulikuwa msingi wa jibu langu kwake,, sometimes drivers na card pia inaweza changia tatizo lake,, kama internet ni 3G so kwa nini iwe shida ya yeye ku connect,, unless kama tatizo hilo ni wateja wote ikiwa ndo hivyo basi ISP atakuwa anadanganya kiwango cha speed cha service yake.. otherwise itakuwa tatizo liko kwenye either modem yake, netcard, au drivers za card husika. otherwise to hell na wewe kama ni matusi
computer yako ina specification Gani?? tuambie RAM ni ngapi? Processor? na HDD ina free space kiasi gani kwenye system drive?
kuwa slow ktk internet kunasababishwa na vtu vingi. kama kujaa kwa hard disk ni kama umezidisha sana mpaka pc inaleta notification kuhusu kujaa teena katika partition inayobeba OS. PIA kama ni Os ya mda mrefu teena kwa kutumia net huwa inafanya update labda znazofanya pc kuwa nzito. Unachotakiwa kufanya jarb modem katika computer nyingine ikiwa poa pakua os ya pc yk.Desk top yangu inanisumbua kwenye interne t system, nikiweka modem inasumbua kwa ku-search mda mrefu, sasa kuna jamaa mmoja anayesomea IT akaniambia kuwa tatizo la internet kwenye computer yangu inachangiwa na kuhifadhi vitu vingi kwenye disk, hivyo naomba nithibitishiwe hili kama kuna ukweli ili nichukue hatua. na je ni nini vinasababisha internet kuwa slow?
ww mtoa mada unajua maana ya PC, Au maana ya RAM. PC yako ina GB 7000. duu we mkali, Pc yako Itakua babu kubwa. maana yangu tu GB 2. jaribu kujua Computer vizur. ujuwe uwezo wake. na umejaza nn. pia Pc yako ni kweli Umejaza vitu vingi na power yake ni ndogo. nazania ata ukiwa unafungua vitu vingine unasubir kama dk. 2 ndio inafunguka. kwenye kubun ndio itakua nzito pia na mtandao unaotumia unazingua tena naamini unaunga ile ya 500 ambayo nayo ni chazo. jaribu kutumia voda