kibaravumba
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 6,635
- 7,005
Kibongo bongo hutakiwi kushangaa,timu inafanya vizuri kwa mara ya kwanza tena kipindi cha pili baada ya misuko suko ya kutosha,kisha unasikia kocha amefukuzwa.
Nini kipo nyuma ya maamuzi haya?
Watu waliona ili watengeneze mazingira ya kushawishi wapenzi wa Yanga wajae siku ya mechi ya tarehe 18,ilikuwa muhimu yanga kushinda leo.
Mpaka sasa yanga wana amini watashinda mechi ya Simba pia.Wamejinasibu ukuta mgumu,ila hawakuangalia ni nani alikuwa akicheza nao.
Kwa hiyo ilibidi mchezo uchezwe nje ya uwanja baada ya kuona kocha ameshindwa kuleta matokeo.
Hongera gsm.