Tuwatakie uponaji wa haraka.Wakiwa wanatoka katika Kata ya Ngarenanyiki wakielekea usa river wakitumia gari la mbunge wa musoma mjini V. Nyerere (Kiboko wa Mkapa) wanahabari wanne wa dira ya Mtanzania,Tanzania Daima, Jambo leo, Sunrise Radio na Majira wamepata ajali! hawajaumia sana isipokuwa Grace Mbise Majira hali yake mbaya sana.
Sourse Sunrise Radio
Wakiwa wanatoka katika Kata ya Ngarenanyiki wakielekea usa river wakitumia gari la mbunge wa musoma mjini V. Nyerere (Kiboko wa Mkapa) wanahabari wanne wa dira ya Mtanzania,Tanzania Daima, Jambo leo, Sunrise Radio na Majira wamepata ajali! hawajaumia sana isipokuwa Grace Mbise Majira hali yake mbaya sana.
Sourse Sunrise Radio
Tuwatakie uponaji wa haraka.
Lakini sasa hawa waandishi kwa nini wasitumie magari ya ofisi zao. Wanapotumia magari ya makada wa vyama kweli watakuwa huru? Afadhali mmoja wa star tv nimemsikia akisema anatumia pikipiki ya kukodi.
hujuma za ccm hizo!
hahahaaaMkuu msofe,jaribu kutoa ushirikiano kwa kichwa chako unapo taka kufikiri.