Kama wewe siyo makonda mwenyewe utakuwa mke wake bila shaka..!Asante Mkuu,hata kanisani tukienda tunatoa sadaka kila mtu kwa kiwango anachoweza,sio lazima wote tutoe sawa;ndio maana nikasema aweke watu wa ufundi kumsaidia kwenye hilo pia
huyo atakaekua na power kuhusu hizo pesa nae si anatoka hio hio gvt unamaanisha yy hawazi kama serikali yake na kama ndio mbona hajawahi kupinga??ndio maana nikasema iwe charity,independent from government.
huyo atakaekua na power kuhusu hizo pesa nae si anatoka hio hio gvt unamaanisha yy hawazi kama serikali yake na kama ndio mbona hajawahi kupinga??
Sent using Jamii Forums mobile app
Mradi wa taka ulikataliwa upande wa pili kaenda ubalozi wa China kuomba msaada wa recyclinghello wanajamii,
Nadhani mkuu wa mkoa wetu, anajitahidi kwa kuwa na maono ya jinsi Dar yetu iweje,
Mie naona,kitu anachokikosa ni ufundi/technicality pamoja na Finances
tusaidiane kumpa support,
I just think,afungue charity yake,ambayo itawork independently from the government.
Atafute volunteers wa skills tofauti,kama alivyowapata madoctors wa kucheki afya once per year,ndivyo hivyo atafute watu wa skills nyingine,mfano engineers,watu wa research and marketing,wawepo kwenye kamati yake,
Afungue number/hotline watu wachangie hata kwa M-Pesa,
nimeona hili wazo litamfaa sana,
sababu itampa power,kumake decisions yeye kama mkuu,
afanye nini kutumia resources alizonazo,kuimplement wazo lake
sio sasa hivi
Mpaka apewe 'ruhusa' kutoka juu,
na saa nyingine hamna hela kutoka kwenye serikali,
so anakuwa stuck,
Mnamkejeli,sababu hamjui kuwa wapi anakwama,
trust me,Makonda akianzisha Charity,DAR yetu itapendeza.
[emoji86] [emoji86]Don't seduce her like that! Ali kiba amekataa!
hello wanajamii,

Atatumia koti lake la kiserikali na Chama kujipatia umaarufu wa kisiasa kama Tulia.Mkuu,serikali inaweka tu sheria juu ya charity ifate regulations za nchi,ila sio kuingilia utendaji wake,