Wana Chit-Chat enzi hizooooo!!

Unatuchora eeh?
kama vile unavojiachia juu yetu ni kutuchora basi sipati picha mpango mzima kabisa utakuweje..

Wee BAGAH wewe hebu acha uongo wako hapa! Kwanini unataka kutuchonganisha na Kaizer? Mwenzio yuko vitani halafu unataka kumpa pressure ya mambo ya uraiani! Mwaya kaizer wewe concentrate na masuala muhimu ya kitaifa achana na maneno ya vijiweni ya kina BAGAH na Erickb52
 
Last edited by a moderator:
mwaJ hao nishawajua kitambo! asante kwa barua yako ya kutia moyo ninapigana kufa na kupona.....natumai utajitunza hadi nirudi! Tuendeleze wote gurudum la maendeleo...........hao wanaotaka kutuchonganisha walie tu!
 
Last edited by a moderator:
Babu mbona picha zimefutika...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…