Salamu ndugu zangu na wakubwa shikamooni.
Kutokana na kifo cha Albert Mangewa na Mez B pia kiongozi Noorah hafanyi tena music sababu za familia.
Wanachemba tuko wengi sana na tunaweza chama letu lifahamike Dunia nzima.
Nashauri Dark Masta awe kiongozi wetu