wazagamba nkoko
JF-Expert Member
- Nov 23, 2021
- 392
- 998
Nakumbuka wananchi waliwaamini sana,lakini hayati Magufuli alituthibitishia watanzania ya kwamba nchi yetu ina wapinzani maslahi na si wanasiasa wenye lengo la kuwasaidia wananchi.
Hayati alianza kwa kasi kubwa mkasema anaiga ilani yenu, tukasema kama ni hivyo basi sawa unganeni nae tuivushe nchi, mkashindwa, mwamba hakukata tamaa akasongesha tukaona utendaji bora kabisa na miradi mingi ikaibuliwa na kukimbizwa kwa kasi huku mafisadi wakishughukikiwa barabara, mkaanza kutetea wezi wa mali za umma, hilo hatujasahau. Mkaanza kushilikiana na mabeberu kumkwamisha.
Sasa sijui mikutano yenu ya hadhara mtakuja na lipi jipya zaidi ya kuiomba CCM iwaachie baadhi ya majimbo ili muweze kujikimu na na kufurahia mialiko ya Ikulu