Wana cdm, cuf, ccm, nssr,tlp etc, j2 ndio hii

Wana cdm, cuf, ccm, nssr,tlp etc, j2 ndio hii

bwakea

Member
Joined
Jun 5, 2009
Posts
45
Reaction score
1
Nawakumbusha mumkumbuke Mungu, siasa weka pembeni twenden tukasali, tuliombee taifa letu na viongozi wetu, ili wawe na busara na moyo wa huruma kwa watanzania wenzao. Amen
 
Nawakumbusha mumkumbuke Mungu, siasa weka pembeni twenden tukasali, tuliombee taifa letu na viongozi wetu, ili wawe na busara na moyo wa huruma kwa watanzania wenzao. Amen

kuombea viongozi mafisadi wa Tanzania ni sawa na kuombea biashara ya majeneza ipate wateja.

maombi kama hayo Mungu huwa anayapotezea.
 
nakubaliana nawe ng'wangana.kwanza wao kila siku uzinzi.kujipaka majanaba na kuingiza ikulu nuksi.
 
Back
Top Bottom