mwanafyale
JF-Expert Member
- Sep 27, 2010
- 1,641
- 539
Mmeshakuwa brais washed na mapesa yake, ndio maana mnadhani akikaa pale ikulu mtaendelea kuyapata. Amuenimkwa mistakabali wa taifa sio kwa kuangalia mlipewa sh ngapi. Au ndo mnataka figure tu, mbona hata akili yenyewe ishaanza kuisha, mtu ili ale chakula lazima avishwe bibu kaa mtoto mdogo, hayo maamuzi atakuwa anatoa nyie mnamsainia au itakuwa vi, au hujui kuwa hata kushika kikombe cha chai kwake ni issue?Kwani Nchi inaongozwa kwa kunyanyua tofali, Kama ni hivyo basi yumpe Fransis Cheka maana anafanya mazoezi kila siku, au apewe January Makamba maana ndiyo yuko fit kiafya (Kwa kuangalia) kuliko wagombea wote. Ndiyo maana tunasema unapochangia masaburi weka pembeni, nchi inaongozwa kwa Utashi/Akili/kusikiliza na maamuzi magumi. Kwenye WWE ndiyo wanahitaji watu wenye nguvu kama kina Big Shoo
Kwa lowassa kuwa Rais kuna ubaya gani? si haki yake kikatiba akitaka kugombea.Mwacheni mzee wa watu.Kwanza hajatangaza kama wengine.Suala la afya yake,si madaktari wapo, je wamemshauri asigombee? Tuache kumuandama.Ikifika wakati cha chake kikitangaza utaratibu yatajulikana tuu yote. Kuliko kumuandama,wagombea wengine hamuwaoni? kila siku lowassa lowassa ni tishio nini.
hii ni topiki ya kipuuzi kabisa. Kama huna topiki ya maana nyamaza kimya kuliko kuandika utumbo
Lowassa, mwizi, alimwibia Baba yako?
Mwadhama Policarp kadrinali Pengo huyu ambae askofu wake amemzika Komba kwa heshima zote za kanisa Katoliki la Roma nae wa kukaa umsikilize? Wakati Komba alikuwa na kikwazo kwenye canon law
Mkuu kwa Ccm yenu sio Lowasa tu ambaye hafai kuwa Rais.Kama kweli tunafuata misingi ya Mwl Nyerere ya kuikataa Rushwa kwa viongozi wetu niambie ninani Ccm ambaye hajawahi na hatoi rushwa?.Kama tunasema Fitina ni mwiko na anayefanya hivyo kwa kunufaika na fitina nasi tumuogope kama ukoma na hafai kuwa kiongozi wetu,ninani ndani ya Ccm ambaye hahusiki na fitina,chuki naubinafsi?.Ndio mana nasema huko Ccm hakuna hata mmoja mwenye nafuu ila mnazidiana nguvu za maovu kulingana nauchumi wenu!