Wana CCM wanaoweweseka na Lowassa

Ninakuhakikishia mkuu Lowassa hafaiiiii kuwa rais wa inchi hii, na akifanikiwa kuwa rais basi itasomeka ameununua urais na wala siyo kachaguliwa na wanainchi

So what!! tuondolea umasaburi wako
 
Nijuavyo Mimi hakuna anayegombea ambaye hapendi pesa .na si lazima wote tuwe na mtazamo Wa aina moja kwa hiyo mie nadhani Lowasa ni chaguo la walio wengi.tofauti na huyo basi upinzani utapeta kiulaini km kumnyatia kiziwi
 
Tuambie Lowasa aliiba nini vinginevyo kakojoe ulale its too late kwenu kumzuia Lowassa
 
Ukipenda pesa huku una madaraka yaurais huwa ina madhara makubwa mbeleni, muulize Shah wa Iran

Well said Mkuu.... Kwa sasa huwezi kuzuia nguvu ya Lowassa.....
 
Tuambie Lowasa aliiba nini vinginevyo kakojoe ulale its too late kwenu kumzuia Lowassa

Lowassa anazuilika kiraisi sana kama vile Dr Salmin Amoor alivyozuiwa kugombea urais wa Zanzibar kwa mala ya 3 ndivyo hivyo hivyo Lowassa wenu atakavyozuiwa kuwa rais, Commredi Philip Mangula fanya kazi zako za Kimangulamangula
 
Ama kweli lowassa ndo kiboko yao aisee,yan saiv kila kona mitaan ukipita utackia lowasa kiongoz shupav,jasir na mwenye kutoa maamuz magumu na sahihi kwa wakati huska,na mie sasa nakubaliana na wengi kwa maneno yao hayo kuwa lowassa n tumain letu watz tumpen nchi atuongoze,
 
Unaongea pumba tu.. hata sasa tukikuambia ulete ushahidi wa ulivyosema. Huna hata mmoja... kakae uwaze alafu uje na jipya. watanzania ukweli wote twaujua na yeye ndo tumeamua agombee kupitia ccm amakokote tutampa.
 
Rubish ya kufunga Mwezi wa March. Hivi mtu unawezaje kuandika pumba namna hii. Kweli nchi hii imejaa matahira
Najua utakurupuka na povu likutoke mdomoni kwa mitusi, mnataka kutuletea msiba wa kitaifa bire, mtu hata kunyanyua kitofali mpaka asaidiwe wee ndo unamuona anakufaa, kweli ccm mmezoea na mnapenda kuhani misiba. Wewe ambaye huongei rubish kati ya waTZ 45 umeona huyo fisadi ndio anafaa kukuongoza? Shame on you
 
Kwani Nchi inaongozwa kwa kunyanyua tofali, Kama ni hivyo basi yumpe Fransis Cheka maana anafanya mazoezi kila siku, au apewe January Makamba maana ndiyo yuko fit kiafya (Kwa kuangalia) kuliko wagombea wote. Ndiyo maana tunasema unapochangia masaburi weka pembeni, nchi inaongozwa kwa Utashi/Akili/kusikiliza na maamuzi magumi. Kwenye WWE ndiyo wanahitaji watu wenye nguvu kama kina Big Shoo
 
Kwa lowassa kuwa Rais kuna ubaya gani? si haki yake kikatiba akitaka kugombea.Mwacheni mzee wa watu.Kwanza hajatangaza kama wengine.Suala la afya yake,si madaktari wapo, je wamemshauri asigombee? Tuache kumuandama.Ikifika wakati cha chake kikitangaza utaratibu yatajulikana tuu yote. Kuliko kumuandama,wagombea wengine hamuwaoni? kila siku lowassa lowassa ni tishio nini.
 
Wanamuogopa lowassa kinoma.Hoo mara akiingia atalipiza kisasi.Mara sijui nini,Hata hawaeleweki
 
Kwa lowassa kuwa Rais kuna ubaya gani? si haki yake kikatiba akitaka kugombea.Mwacheni mzee wa watu.Kwanza hajatangaza kama wengine.Suala la afya yake,si madaktari wapo, je wamemshauri asigombee? Tuache kumuandama.Ikifika wakati cha chake kikitangaza utaratibu yatajulikana tuu yote. Kuliko kumuandama,wagombea wengine hamuwaoni? kila siku lowassa lowassa ni tishio nini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…