Magazeti yaleo hasa Nipashe imebeba ujumbe wa wana CCM kwa makundi wakiomba Lowassaachukue form ya kugombea urais na wengine kumchangia kabisa sh million mbilikwa ajili ya kuchukua form hiyo.
Hakika wanaCCM hawa wanaweweseka kwani Lowassa hafai kuwa rais kwa sababu kuu 2
WanaCCMtulieni chama chenu kimewatayarishieni kiongozi wa urais ambaye ni bora kabisaambaye ataliongoza taifa hili na kulirudisha katika msingi yake waliyoiweka waasisiyani utu wa mtu ni kazi na wala siyopesa
- Mtu anayejitajirisha kwa kutumiaofisi ya uma hafai kuwa kiongozi kwa sababu siyo mfano wa kuigwa( a role model), hakuna kitu kinaitwa utajiri wa asili, hata akiuza ngombe zake zote na zawamasai wengine hawezi kununua nyumba London.
- Pili umri ule na afya ile niyakumalizia urais , siyo kuanza urais.
Rubish ya kufunga Mwezi wa March. Hivi mtu unawezaje kuandika pumba namna hii. Kweli nchi hii imejaa matahira
Anayo sifa ya kugombea u rais, nawe kama unayo unaruhusiwa! Maana ni haki yake kama ilivyo yako! Wengine wana dream wawe ma Rais wengine wana dream wawe wafanyabiashara etc, ni haki yake kutimiza ndoto zake.
"Nakulirudisha kwenye Misingi yake,"Kumbe Kuna Muda Mnakubali ya Kwamba CCM Imelitoa Taifa kwenye Misingi Yake. Solution: Kurudisha Taifa Kwenye Misingi yake Haliwezi kuwa tena Jukumu la CCM. Watanzania tukate Shauri Jema tuachane na CCM na Usanii wake.WanaCCMtulieni chama chenu kimewatayarishieni kiongozi wa urais ambaye ni bora kabisaambaye ataliongoza taifa hili na kulirudisha katika msingi yake waliyoiweka waasisiyani utu wa mtu ni kazi na wala siyopesa
Magazeti yaleo hasa Nipashe imebeba ujumbe wa wana CCM kwa makundi wakiomba Lowassaachukue form ya kugombea urais na wengine kumchangia kabisa sh million mbilikwa ajili ya kuchukua form hiyo.
Hakika wanaCCM hawa wanaweweseka kwani Lowassa hafai kuwa rais kwa sababu kuu 2
WanaCCMtulieni chama chenu kimewatayarishieni kiongozi wa urais ambaye ni bora kabisaambaye ataliongoza taifa hili na kulirudisha katika msingi yake waliyoiweka waasisiyani utu wa mtu ni kazi na wala siyopesa
- Mtu anayejitajirisha kwa kutumiaofisi ya uma hafai kuwa kiongozi kwa sababu siyo mfano wa kuigwa( a role model), hakuna kitu kinaitwa utajiri wa asili, hata akiuza ngombe zake zote na zawamasai wengine hawezi kununua nyumba London.
- Pili umri ule na afya ile niyakumalizia urais , siyo kuanza urais.
Magazeti yaleo hasa Nipashe imebeba ujumbe wa wana CCM kwa makundi wakiomba Lowassaachukue form ya kugombea urais na wengine kumchangia kabisa sh million mbilikwa ajili ya kuchukua form hiyo.
Hakika wanaCCM hawa wanaweweseka kwani Lowassa hafai kuwa rais kwa sababu kuu 2
WanaCCMtulieni chama chenu kimewatayarishieni kiongozi wa urais ambaye ni bora kabisaambaye ataliongoza taifa hili na kulirudisha katika msingi yake waliyoiweka waasisiyani utu wa mtu ni kazi na wala siyopesa
- Mtu anayejitajirisha kwa kutumiaofisi ya uma hafai kuwa kiongozi kwa sababu siyo mfano wa kuigwa( a role model), hakuna kitu kinaitwa utajiri wa asili, hata akiuza ngombe zake zote na zawamasai wengine hawezi kununua nyumba London.
- Pili umri ule na afya ile niyakumalizia urais , siyo kuanza urais.
ebaeban wewe ndiyo unaweweseka...waache watu waamue kwa utashi wao usiwapangie kama maaskofu walivyowapangia waumini ati waikatae katiba pendekezwa..tumshukuru Mwadhama polycarp pengo kwani yeye ndiye mtumishi wa bwana hasa na amepingana na maaskofu na kutaka watu wachwe kwa utashi wao...ninakushauri jikusanyeni muende kwa slaa kama sisi tulivyokwenda kwa EL
Hahahahahahahaha,aliyekutuma kuja kufanya kampeni huku imekula kwake,kwa kifupi lowasa ndo rais ajaye wa tanzania,mtake msitake hayo mnayomnenea ni yenu na hao waliowatuma,lowasa ana ng'ombe wa kutosha alioachiwa na wazazi wake,lowasa amekuwa serikalini na akilipwa mshahara kwa ziadi ya miaka 30,lowasa alishakuwa waziri na kusafiri kila kona ya dunia na kipwa,je ulitaka kusema hana uwezo wa kuwa tajiri?au tajiri unamdefine vipi?kwa mimi ni mtu mwenye uwezo wa kuwasomesha watoto wake na kuwahakikishia lishe mara 3 kwa siku yaani chai ya asubuhi,chakula cha mchana na cha usiku,na kingine ni kuwa na kibanda cha kuishi,muacheni baba yetu lowasa sasa jamani mbona mnahangaika???????????????????????????????????????????????????
Urais ni Taasisi, cheo cha kijamii, kinaamriwa na jamii nzima na wala siyo mtu mmoja ati mimi ndoto yangu nataka kuwa rais, Jamii haiwezi kunufaika na Lowassa akiwa rais kama vile wengine wanavyofikilia
Tusidanganye wajinga kila siku kwa maneno yale yale!!
Mnufaika wa kwanza kabisa wa urais kiukweli ni familia yake. Ndio maana watu wanatafuta hiyo dili ya uongozi wa juu. Sheria zilizopo zinampa uungu rais wa nchi zetu za kiafrika ndio maana kila mmoja anatamani yule anayempenda ndio awe rais ili wapate pa kutokea na familia zao kirahisi. Hapa hakuna cha utajiri au umaskini ni namna ya kutoka .Mama awe first lady na watoto wawe maprince na maprincess.Kutudanganya kwamba yule anaweza kwa sababu hana fedha au ana fedha ni kutufanya misukule. Tunawasubiri waje tuwachambue kwa hoja.
Lowasa hajaambiwa awe rais bali achukue form. Ndio maana ya kugombea ni ili ashinde yule mwenye hoja na sera nzuri.Mpaka sasa ndoto na hoja ya Lowasa ni maji,Elimu na afya bora kwa wote. Tunasubiri wengine waje na sera na vipao mbele vyao.
Haya mambo ya kushtukizwa tu wagombea ndio yanayotufanya tunawaachia kamati ya watu tisa au kumi walazimishe kwa chuki au mapenzi yao kutupatia rais wa nchi .Matokeo yake anashindwa kufanya maamuzi.
Tunataka sera tuu.Woga wa nini ?Waje wote wenye uwezo tutawasikilize?Kwa nini mtu abebwe na kikundi cha watu wakati hana sera zaidi ya kupinga sera za wenzao?
Hata watoe pesa kama wanavyofanya CCM na makada wake wale wenye akili watasikiliza sera.
Haturudii makosa ya mwaka 2010 ,wananchi walipotoshwa badala ya kusikiliza sera na hoja za wagombea uraisi ili wachague kiongozi bora, waliendekeza nyimbo za kusifiana na mapambo ya CCM .
Dr. Slaa alikua na sera nzuri ya huduma za kijamii na makazi bora kwa wote.Badala ya mgombea wa CCM kuja na sera akaja kwa kupinga hoja za Slaa kwa kusema haiwezekani kwa kejeli nyingi na mifano ya kupotosha.
Imebaki miezi 7 kwa nchi yenye watu makini ni lazima pawe na makundi na watu wanaotajwa kufaa kugombea nafasi ya urais.
Na hakuna mtu atakayejitokeza kugombea urais akakubaliwa na watu wote 100% .Hata akija Yesu atapingwa na kundi lingine.
Kama mpaka sasa pangejua hakuna watu waliotajwa kugombea au kuombwa kugombea basi ningejua hili ni taifa linalosubiri kuzikwa kaburini kwa kuwa taifa la wafu.
Usiwe na shaka atajitokeza unayemkubali wewe ni haki yake ashindane na usiyemkubali. Ndiyo demokrasia ya kweli.