Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,191
- 138,536
Mimi hata huko Mbagala waliko fanya mkutano niliona wakisema ccm oyee,waliokuwa wanaitikia ni wale wa mbele pale na wenye sale.Kama picha ile ume ingalia utaligundua hilo.Siasa za Tanzania sasa hivi zime badilika.watu wanakuja kwenye mkutano hata kama wanamaamuzi yao mengine.Kama ambao huwa wanjaa kwa Zito unafikiri niwake wale?maccm yatakufa mwaka huu