Wana CCM Vyuo Vikuu Mbeya wamtetea Kikwete

Wana CCM Vyuo Vikuu Mbeya wamtetea Kikwete

Jayfour_King

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2009
Posts
1,135
Reaction score
131
Shirikisho la vyuo vikuu mbeya, wamefanya maandamano na kulaani wanasiasa waliotoa maoni na kukosoa serikali ya kikwete kwenye kongamano la Mwalimu Nyerere Foundation.

Source: TBC.
 
Shirikisho la vyuo vikuu mbeya, wamefanya maandamano na kulaani wanasiasa waliotoa maoni na kukosoa serikali ya kikwete kwenye kongamano la Mwalimu Nyerere Foundation.

Source: TBC.

Maaaaaiiiiiii God!

Kuna signature ya jamaangu humu ndani inasema.."Politics is such a big issue to be left to only politicians"

Kama wasomi wa vyuo vikuu wanadanganyika kirahisi namna hii na wanasiasa, then our destiny is blured!

Kwishney!
 
Kwa kuwa ugomvi wa wanafunzi wa elimu ya juu mara nyingi huwa ni mikopo, tuamini kwamba mambo kwa upande huo yameenda vyema ndio maana hakuna matata na wanaandamana kulaani. yeyote aliye against mtu wao aliyewafanyia mambo. (Naamini pressure ya siasa lazima itakuwepo humo).
 
Maaaaaiiiiiii God!

Kuna signature ya jamaangu humu ndani inasema.."Politics is such a big issue to be left to only politicians"

Kama wasomi wa vyuo vikuu wanadanganyika kirahisi namna hii na wanasiasa, then our destiny is blured!

Kwishney!

Fuatilieni vizuri, hao wasomi wa Mbeya kwanza ni wambeya na pili ni matunda ya mafisadi, and so, lazima wapingane na anayejitokeza kujaribu kuwapokonya tonge mdomoni. Hawawezi kumsifia anayemkoromea JK kama vile JK alivyosema hakutarajia akina Quares wampongeze,,,,je jamani chema si hujiuza chenyewe?
 
Utoto raha,mtoto akipewa pipi anadanganyika.unajua hao mi nawaita watoto maana naamini wengine hata kura hawajawahi kupiga.hawajui historia ya nchi,hata wakilaani ukweli unabakia hawa jamaa mambo yamewashinda.nawapongeza watu kama Qaresi wenye ujasiri wa kusema.
 
Tuwasamehe hawajui watendalo ..... Maana hata wapiga debe wasokoni mwanjelwa wanajua jinsi gani utawala wa JK ulivyona mapugufu. Hawa siwale waliogia kwa viwango duni na kupewa mikopo na HESLB tutegeme ninitoka kwao.
 
Nadhani hao watoto ndio jinsi gani wanatuonesha jinsi walivyo na ufinyu wa kufikiri mwisho wa siku tunakuja kukabidhi dhamana ya uongozi kwa wenda wazimu kama ho wajiitao wahasibu, wanasheria n.k
Nadhani ndio mana wanasoma chuo kisicho kuwa accredited sio makosa yao hao
 
Kwani Mbeya kunakuwaga na chuo ati? mi najua huwa kuna Madanguro!
 
Mambo ya Mugabe yameanza kwetu? enzi zetu isingewezekana kabisa upuuzi huu kutokea, hili ndo tatizo la mangwini.
 
Mambo ya Mugabe yameanza kwetu? enzi zetu isingewezekana kabisa upuuzi huu kutokea, hili ndo tatizo la mangwini.
He...
Yamekuwa haya tena!
Braza, tuombe radhi wenye fani zetu Mkuu!
 
He...
Yamekuwa haya tena!
Braza, tuombe radhi wenye fani zetu Mkuu!

Niambie kwanza hao walioandamna wanasoma masomo gani, vyuo vikuu vya Mbeya ni ungwini tu, sikuombi radhi mzee. Nakumbuka enzi zetu Prof. Mathayo Luhanga alikuwa anasema ukweli wa mangwini.

But take it ease mzee.
 
Kuna tatizo gani kwa wasomi hao kuandamana?
Kibunango,
Tatizo ni kwamba hawajui wanaandamana kwa sababu gani. Wangejibu kwanza hoja za wale waliomkosoa Kikwete, au even better, kama wasomi, wangeandaa warsha ya kujadilia yaliyosemwa juu ya Kikwete na kama yana ukweli wowote. Maandamano hayo yanaonekana kuwa ya kijazba jazba tu. Ukinijibu vizuri nitakupa Thanks ya pili.
 
Mkuu, nimecheka sana juu ya thanks ya pili! Anyway tatizo la mada hii limeanzia kwenye mada mama ambayo imetoka kwenye television, hivyo ni vigumu kujua kama kabla ya maandamano hayo au baada ya maandamano hayo waliweza kuunda hoja dhidi ya hoja zilizotolewa kwenye kongamano. Angalia hapa chini mada mama imesema nini.

Shirikisho la vyuo vikuu mbeya, wamefanya maandamano na kulaani wanasiasa waliotoa maoni na kukosoa serikali ya kikwete kwenye kongamano la Mwalimu Nyerere Foundation.

Source: TBC.
Kwa ufahamu wangu ni kwamba maandamano huanza toka pointi moja kwenda pointi ya pili. Na hao wanaoandamana huwa na ujumbe kadhaa kwenye mabango yao. Ni mara nyingi maandamano huishia kwa waandamaji kuwa na mkutano ambapo hutoa maana ya maandamano yao. Hili ni la kwanza. Hata hivyo halikuwekwa wazi na mleta thread hapa.

La pili ni kama ulivyosema ni kuandaa warsha, hili linaweza kufanyika kabla ya kuandamana na linaweza kufanyika baada ya kuandamana, inategemea hali halisi ya suala lenyewe. Ukiangalia kwa kina wasomi hao wameona ni bora kuandamana kabla ya JK kujibu hoja za kongamano kama alivyoahidi. Pengine hili wamefanya ile kuweka msimamo wao kwa Rais wao kabla ya kujua atajibu nini, na labda kupitia kwenye mabango yao ama mkutano baada ya maandamano hayo, yatamwezesha vilevile Rais kujua wasomi hao wanasema nini juu ya sakata hilo zima.

Hii itamsaidia zaidi Rais kujenga hoja wakati wa kuwajibu. Kumbuka kuwa alisema kuwa watakaa pamoja na kujibu hoja hizo. Hii ina maana ni kukusanya hoja zote zilizotolewa mara baada ya kongamano hilo. Rais amekuwa msikivu sana, na kupitia usikivu huo ataweza kujibu hoja zote pasipo shaka.

Hivyo basi kupitia mada mama ya bandiko hili sijaona ajabu kwa wasomi hao kuandamana. Na hii aizui watu wengine kuandamana kuunga mkono hoja za kongamano hilo dhidi ya Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri.
 
Nadhani hao watoto ndio jinsi gani wanatuonesha jinsi walivyo na ufinyu wa kufikiri mwisho wa siku tunakuja kukabidhi dhamana ya uongozi kwa wenda wazimu kama ho wajiitao wahasibu, wanasheria n.k
Nadhani ndio mana wanasoma chuo kisicho kuwa accredited sio makosa yao hao

This is insane.
 
students of higher learning institutions ceased to be ideologists when they became thinkers of their tummies. if that is case then i wonder whether we can secure for the better tomorrow! NEW GENERATION CCM PROPONENTS ARE DIGGERS OF TRAGEDIES. THERE IS NO WAY GREAT THINKERS CAN SUPPORT CCM WITH A BUNCH OF UNCOUTH LEADERS WE'RE HAVING NOW. LET US DO AWAY WITH HUNGRY MONEY MONGERS
 
Back
Top Bottom