Kama fisadi mmemteua kuwa mgombea Urais wenu hakika UKAWA yote inatawaliwa na mawazo ya kitaahira
Hayo ni makapi ya lowassa lazima yaondoke naye ili wabaki wasafi ili tushinde kwa kishindo October.
Nasikia nyie mna experience ya msituni sana na hata hivi sasa mko huko....
Vipi pakoje?
CCM tunakisaidia chama chetu kwa vile tunakipenda. Si kama akina Mbowe wapo CHADEMA kutokana na maslahi binafsi.[/QUOTE
fuata nyayo za kamanda mpya msalan hata yy alikuwa mpuuz km ww teh teh
Mtu akielewa anijulishe alichomaanisha mleta mada
Mbichi hizo, sizitaki, huku kiroho kinadunda! Tuseme tu ukweli, Lowasa anatisha. Wengi katika CCM wanajikaza tu lakini ndani hawajui nini kitatokea.Kilio kisababishwe na huyu fisadi tuliyemfurumusha?
Kamuone Mbowe. Zile bilioni kumi alizohongwa na Lowasa hazijaisha
Nataka kujua kama wewe ni mwanaume au mwanamke,?kijana au mzee? Kuna uwezekano ukawa na roho ya kimaskini sana imekutawala,hivi kabisaaaaaa umeridhika na hali ya kiuchumi uliyonayo kulinganisha na rasilimali zilizopo,ungekuwa karibu yangu ningewapa mbwa wangu wakutafune
Nimekuambia kuna Kikosi kazi cha marais watatu; Mkapa, Mwinyi na Kikwete! Au haukuyaona hayo majina mengine!
Kunamakundi ktk facebook,jamiiforum, twitter, na hata instragram wanafanya propaganda chafu dhidi ya ccm, lakini hatupaswi kata tamaa kukiunga chama chetu mkono. Wao wanalipwa mapesa ktk kufanya hizo propaganda chafu ila cc hatulipwi lakini nilazima tuwe wazalendo kupost kwa wingi ktk mitandao nakuwajibu hawa mafisi maana cc ni simba hatuli mizoga kama mafisi. Tutulie maana mwaka huu ukawa na chadema imekula kwao. Amini usiamin ccm itashinda kwa kishindo.