ustadhijuma
JF-Expert Member
- Jul 20, 2015
- 3,133
- 2,118
Kamuone Mbowe. Zile bilioni kumi alizohongwa na Lowasa hazijaisha
Mkuu kama hamlipwi litakuwa ni tatizo kubwa sana,yahani zile zote za eskroo zisizo tosha hata kwenye viroba jamaa wanaswenda peke yao?Kunamakundi ktk facebook,jamiiforum, twitter, na hata instragram wanafanya propaganda chafu dhidi ya ccm, lakini hatupaswi kata tamaa kukiunga chama chetu mkono. Wao wanalipwa mapesa ktk kufanya hizo propaganda chafu ila cc hatulipwi lakini nilazima tuwe wazalendo kupost kwa wingi ktk mitandao nakuwajibu hawa mafisi maana cc ni simba hatuli mizoga kama mafisi. Tutulie maana mwaka huu ukawa na chadema imekula kwao. Amini usiamin ccm itashinda kwa kishindo.
Ha ha haaa! jamaa linakufa na tai shingoni!Kunamakundi ktk facebook,jamiiforum, twitter, na hata instragram wanafanya propaganda chafu dhidi ya ccm, lakini hatupaswi kata tamaa kukiunga chama chetu mkono. Wao wanalipwa mapesa ktk kufanya hizo propaganda chafu ila cc hatulipwi lakini nilazima tuwe wazalendo kupost kwa wingi ktk mitandao nakuwajibu hawa mafisi maana cc ni simba hatuli mizoga kama mafisi. Tutulie maana mwaka huu ukawa na chadema imekula kwao. Amini usiamin ccm itashinda kwa kishindo.
Kama lowasa ni fisadi mbona mmeashindwa kumpeleka mahakamani,mbona magufuli katajwa na ripoti ua CAG kaiba hela nyingi sana zaidi ya bilion 253 na mkaampitisha agombee urais.wewe sema tukupe kadi ya chadema roho yako isuuzikeKama fisadi mmemteua kuwa mgombea Urais wenu hakika UKAWA yote inatawaliwa na mawazo ya kitaahira
CCH hatujawahi kuhuzunika unapokuja uchaguzi. Siku zote tunakuwa wenye furaha na ushindi ni lazima
Nataka kujua kama wewe ni mwanaume au mwanamke,?kijana au mzee? Kuna uwezekano ukawa na roho ya kimaskini sana imekutawala,hivi kabisaaaaaa umeridhika na hali ya kiuchumi uliyonayo kulinganisha na rasilimali zilizopo,ungekuwa karibu yangu ningewapa mbwa wangu wakutafune
Yanayotokea monduli muheza mwanza wanachama maelfu wanahama nazo ni propaganda huu ndio mwisho wenu ccm Endelea kujifariji
Mkuu kama hamlipwi litakuwa ni tatizo kubwa sana,yahani zile zote za eskroo zisizo tosha hata kwenye viroba jamaa wanaswenda peke yao?
CCM tunakisaidia chama chetu kwa vile tunakipenda. Si kama akina Mbowe wapo CHADEMA kutokana na maslahi binafsi.
Kunamakundi ktk facebook,jamiiforum, twitter, na hata instragram wanafanya propaganda chafu dhidi ya ccm, lakini hatupaswi kata tamaa kukiunga chama chetu mkono. Wao wanalipwa mapesa ktk kufanya hizo propaganda chafu ila cc hatulipwi lakini nilazima tuwe wazalendo kupost kwa wingi ktk mitandao nakuwajibu hawa mafisi maana cc ni simba hatuli mizoga kama mafisi. Tutulie maana mwaka huu ukawa na chadema imekula kwao. Amini usiamin ccm itashinda kwa kishindo.
Kunamakundi ktk facebook,jamiiforum, twitter, na hata instragram wanafanya propaganda chafu dhidi ya ccm, lakini hatupaswi kata tamaa kukiunga chama chetu mkono. Wao wanalipwa mapesa ktk kufanya hizo propaganda chafu ila cc hatulipwi lakini nilazima tuwe wazalendo kupost kwa wingi ktk mitandao nakuwajibu hawa mafisi maana cc ni simba hatuli mizoga kama mafisi. Tutulie maana mwaka huu ukawa na chadema imekula kwao. Amini usiamin ccm itashinda kwa kishindo.
Ccm wanaweweseka huu ndio mwisho waoInawezekana anadhani wale wanaohama wanafanya maigizo. Anangojea mda wa maigizo uishe.
Hii ni kauli ya kukata tamaa, sasa kama kwenye mitandao mtajibu ni akina nani watajibu na watajibu nini?! wenzako akina mussa HALLAN na Laki si pesa wamekimbia, ritz na faizafoxy nao wako kwenye mgomo baridi baada ya kuona magufuri hauziki hata kwa dawa. Pole mkuu stand out of the crowd follow Lowasa.Kunamakundi ktk facebook,jamiiforum, twitter, na hata instragram wanafanya propaganda chafu dhidi ya ccm, lakini hatupaswi kata tamaa kukiunga chama chetu mkono. Wao wanalipwa mapesa ktk kufanya hizo propaganda chafu ila cc hatulipwi lakini nilazima tuwe wazalendo kupost kwa wingi ktk mitandao nakuwajibu hawa mafisi maana cc ni simba hatuli mizoga kama mafisi. Tutulie maana mwaka huu ukawa na chadema imekula kwao. Amini usiamin ccm itashinda kwa kishindo.
Kama fisadi mmemteua kuwa mgombea Urais wenu hakika UKAWA yote inatawaliwa na mawazo ya kitaahira
hata mti ukiona una makapi ya majani unapukutisha na kuanza upya!!Hv ccm kusoma hamjui je picha hamuoni jmn ??watu wanachoma kadi,wanajiunga upinzani wanalamikia rushwa nyie mpo tu bado mnaipenda
Ndoooooorobo kwelikweli
CCM tunakisaidia chama chetu kwa vile tunakipenda. Si kama akina Mbowe wapo CHADEMA kutokana na maslahi binafsi.