Wana CCM hatimaye "confidence" imekata

Mwenyekiti amepaniki. Sasa hivi kila mtu anamuona ni adui yake. Hajiamini kabisaaa!.
 
Mwenyekiti amepaniki. Sasa hivi kila mtu anamuona ni adui yake. Hajiamini kabisaaa!.
Ushauri was bure,wanaojua wamemshauri vibaya kwa maslahi binafsi wajitokeze wenyewe ili kumrahisishia kazi,mwisho watampa pressure bure.
 
Tanzania ni moja kati ya The Poorest Countries in the World (MASIKINI ZAIDI DUNIANI) inashika nafasi ya 8 kutoka chini. ( Focus economy 2019- 23) MIAKA 60 YA UHURU.

CCM imetufikisha hapa
Hebu ngoja kidogo. Inamaana ile tulioambiwa kuwa tuko kati ya nchi zenye uchumi wa kati ilikuwa change la macho?
 
Watanzania mniombee! huwa anaugonjwa gani? Pepo gani, ama huwa ako na dhambi gani za kumfanya akae anaombewa ombewa?
 
Ata huku mtandaoni ninaona CCM imekata pumzi!
Ili uweze kuishabikia CCM lazima uwe na upungufu wa akili!
 
Lord Denning
Nakufuatilia Sana Mkuu,Ni kwamba una maono Sana.
Ila ukae ukijua kuwa mwaka huu kutatokea usaliti mkubwa Sana ndani ya CCM,system,dola na serikalini dhidi ya Dikteta Jiwe.
Na anakwenda kuangushwa mazima.watu wamemchoka haraka mno.
 
Fly over vipi nilimuona yule mzee waliye msafisha kwa dodoki akili zake ameshikilia bango la ndege 'brain washing'
 
Juzi nilmisikia Mwenyekiti wa CCM akiwaambia Wanafunzi wa Shule za msingi pale Nyakanazi kuwa wasisahau kumpigia kula ifikapo Septemba28 nikasema CCM wamechanganyikiwa kabisa hahahahaa!!
Daah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…