mwehu mwingine aliyebaki usingiziniHao walikuwa wamepewa wiki moja tu ya kulipa madeni yao au kufukuzwa ndani ya chama kwa7bu ya kutolipia kadi za uwanachama kwa miaka 6 kwa hivyo wametupunguzia mzigo.
source: Nape, Dodoma.
Peoplessssssssssssssssssssssssss
Mbona nasikia Dr. Slaa amevunja uongozi wa CDM huko Sengerema/Geita baada ya kushindwa kuwanyakuwa wanachama wa CCM?
Ccm ni zaidi ya taasisi hata wahame wanachama wote bado itasimama imara na kuongoza
natangaza nia same magharibi naomba ushauri,,,,,,,,,,,tuvamwe,,,,,,,,:spy: