Mungu wangu weeeeeeeeee siamini amini vile, najuuuta kukosa kuangalia taarifa ya habari. Ngoja nikodoe macho marudio ya taarifa kabla ya kulala
Mungu wangu weeeeeeeeee siamini amini vile, najuuuta kukosa kuangalia taarifa ya habari. Ngoja nikodoe macho marudio ya taarifa kabla ya kulala
Nape hebu fanya sensa ya wanachama maana toka wimbi limeanza ni kama kila mtu anahamia CDM toka ccm. Umebakia wewe tu ambaye ccm ni baba na mama yako.
Marudio huwa sà ngapi mkuu na mimi nijiridhishe?
"ETI" mwenyekiti wa halmashauri anadai hao waliohama wamekosa madaraka ndani ya CCMAkihutubia Dr. Slaa na kuwashangaa wabunge wa CCM kwa unafiki wao hasa wanapopiga kelele lakini amesema waliotia saini kwa ZITTO ni 7 tu. watu wamejiunga Chadema na kutupa kofia na nguo za CCM. Kiukweli CCM hawana chao tena hapa nchini kuanzia 2015 kwa aliyeona ile habari awe shahidi mwema. SOURCE: ITV HABARI USIKU HUU
"ETI" mwenyekiti wa halmashauri anadai hao waliohama wamekosa madaraka ndani ya CCM
Huu ni upepo tu, utapita - Jakaya Mrisho Kikwete!
Marudio ni saa 5 usiku
Nimefurahi sana ile style ya wananchi kutupa kofia na Tshirts za CCM pale mbele.. Na nyingi zilikuwa na upya kama zilizotolewa sandukuni.. It's so moving guys.. Ule wakati wa wananchi kudanganywa kwa fulana.. kanga na kofia unafikia mwisho..
MKuu kwa ciku za Jumamoci na Jumapili ITV hawana marudio ya taarifa za habari hiyo saa tano.. Kwa hiyo kama unataka kuona itabidi uamke saa kumi na mbili asubuhi ndo wanarusha tena hiyo taarifa habari..