wana cc wanaoishi Lindi

Waarabu wa pemba hujuana kwa vilemba, na answali sunna hujuana kwa suruali fupi fupi hahahaha, usomage na signature yangu

Hahaha hii mpya sikuwa nimeiona...niliizoea ile ya mwanzo ya "Mungu kwetu sisi...."
 
Hahaha hii mpya sikuwa nimeiona...niliizoea ile ya mwanzo ya "Mungu kwetu sisi...."

Kuna jirani yangu mmoja aliniambia ameanzisha ligi daraja la 3 ila hana wachezaji, nikamshangaa sana ndo wazo la kuwa na signature ya namna hii lilipokuja.
 
He he he hiyo idea nimeipenda...kweli ur such a GT

Kuna jirani yangu mmoja aliniambia ameanzisha ligi daraja la 3 ila hana wachezaji, nikamshangaa sana ndo wazo la kuwa na signature ya namna hii lilipokuja.
 
Uliipata hiyo eehh? kitu saa kumi na mbili mzee akajikuta anashangaa pwani haha


mara ya kwanza nilijua utani nilipothibitishiwa niikawakubali wazee wa mikumbi. sema wengine wanatumia njia hiyo kupata uhamisho kama mwalimu mmoja wa lindi vijijin alipiga hesabu akaona uhamisho hauji akagida pombe kaenda kulala kwenye kibao cha shule uchi wa mnyama kaja kuamshwa na mlinzi inakuaje anajifanya hajui kitu haikuchukua roundi gari ya halmashauri imefika wakampa transfer....
 
​watu wa lindi noma, hili tundiko linachezwa na watu 2 mwanzo mwisho!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…