wana cc wanaoishi Lindi

Negrodemus

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2010
Posts
2,318
Reaction score
688
mimi kapalampya nimeahamishia makazi yangu rasmi katika mji wa lindi

kuanzia leo hii

kama kuna wana cc wanaoishi lindi naomba tutafutane kwa ajili ya utambulisho na mapokezi..

nawasilisha

cc kwa watendaji wa idara ya mipango na uratibu wa chit chat
 
nilikuwa namtafuta mtu ambaye atakuwa mwakilishi au mratibu wa shindano la kumsaka mwimbaji bora wa chitchat 2013 -2014 hivyo wewe nakuteua kuanzia leo unapojitangaza hapa nipm nikupe fomu kwa ajili ya kuwapa hao ambao tutawafanyisha shindano na atakayeshinda atakuja dar ili tumpate mwimbaji bora wa cc 2013 tz nzima, kazi kwako tafuta viongozi huko, majaji, na walimu wa kufundisha halafu nambie kama umekwisha wapata kazi kwako
 

hakuna hata mmoja alojitokeza means nipo peke yangu
nachoshangaa ikija issue ya mabomu mtwara na lindi watu wengi hutoa taarifa kama wapo huku,

k mkija lindi mjaribu kunicheki
 
Mi sio member wa cc,ningekuja kukuona kwani nipo lindi hapahapa
 
Hahah...mji wa Lindi naupendea kitu kimoja tu, umetulia sana na hauna purukushani...

Hahaha naukumbuka huu mji kwani nilivunja sahani nikiwa hapa......ukali wa dingi uliniokoa sana la sivyooooooooo
 
Naona wataka mpoteza mgeni...hata Ilulu haifahamu ilipo

nitake radhi nakujua nangaru, kilolambwani, rutamba, rondo, mipingo, mchinga ije kuwa ilulu? hapa ilulu si pana club pekee ya lind inaitwa paris club ful kuruka debe na watoto wa kimwera na kimakonde..
 
Hahah...mji wa Lindi naupendea kitu kimoja tu, umetulia sana na hauna purukushani...

stress free town, dar nimeshindwa kukaa beach huku nakaa beach hatua 2 polisi bwalo 5 nipo agape, kumi santorin kumi na 2 magereza bwalo..

kila kitu bei kasoro chumvi na wanawake
 
Hahaha basi we mwenyeji kabisa mkuu...kumbe wayafahamu maeneo mengi tu hivyo...hafi hapo bwaloni.

stress free town, dar nimeshindwa kukaa beach huku nakaa beach hatua 2 polisi bwalo 5 nipo agape, kumi santorin kumi na 2 magereza bwalo..

kila kitu bei kasoro chumvi na wanawake
 
nina wiki sasa najitahidi kutembea kamji ni kadogo sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…